Mbowe: Tunaandamana kupeleka ujumbe kwa watawala

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Your browser is not able to display this video.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa lengo la maandamano si machafuko bali ni kupeleka ujumbe kwa watawala.

Akizungumza Katika mkutano wa hadhara uliofanyika baada ya maandamano jijini Arusha, Mbowe aligusia kuwa mpaka sasa hakuna madhara yoyote yaliyojitokeza tangu walipoanza maandamano, huku akisema kuwa ni kielelezo tosha kwamba maandamano hayo lengo lake ni kupeleka ujumbe kwa wahusika waliopo madarakani.
 
Tangia muanze haya maandamano uchwara ni nini kimebadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…