Pre GE2025 Mbowe, Tundu Lissu na Lema waanza mkutano wa Chopa Kansay Karatu, safari ya Matumaini imeanza Tena!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa chadema Mh Mbowe akiwa na Chopa amefanya mkutano wa kwanza Kansay Karatu mkoani Arusha

Ndani ya Chopa wamo pia Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema

Ni Safari ya Matumaini bila Mbambamba

Ahsanteni Sana 😂😂🔥
 
Asante mr popo
 
Yule askofu wa mchongo yupo!
 
Ni muda kidogo umepita bila kusikia asemayo Mwenyekiti Mbowe kwenye mikutano ya namna hii. Anafanya mikutano, lakini anayozungumzia kwa wananchi watoa habari wanakuwa hawayafikishi kwa wale ambao hawakuwa kwenye mikutano hiyo.
Ni wakati sasa Mwenyekiti apewe nafasi yake ya wananchi kumsikiliza sehemu mbalimbali.
 
Na kuwaaga Wanachama Kabisa 😂
 
Mikutano kama hii ndio Zitto Kabwe aliitumia kuwaaga Wanachama wa ACT Wazalendo
Najuwa hii nayo ni fani, (kupoteza lengo) watu wanakwenda vyuoni kuisomea na kuendesha maisha yao.

Kumbukumbu zangu zimeanza kufifia, lakini nadhani Ngombale Mwiru alikuwa mahiri katika fani hii. Uliwahi kuwa mwanafunzi wake?
 
Mwenyekiti wa chadema Mh Mbowe akiwa na Chopa amefanya mkutano wa kwanza Kansay Karatu mkoani Arusha

Ndani ya Chopa wamo pia Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema

Ni Safari ya Matumaini bila Mbambamba

Ahsanteni Sana 😂😂🔥
Vipi ule ugomvi wao umeisha? Hahahahaah CCM huwa wanawashwa masikio
 
Mashoga ya CCM ndiyo yalikuwa yanaeneza huo upuuzi wakiongozwa na yule chawa mchuna ngozi wa Mbozi
 
Mbona simuoni Mchungaji Peter Msigwa.
Inamaana katengwa au?😀😀
 
Hivi ugomvi wa Mpina na Bashe unaamuliwa lini? Wananchi tunasubiri kwa hamu sana.

Tena Mbowe amesema kuwa wamwambie Makalla kuwa ugomvi unazidi kuendelea.

CCM wamekuwa kama fisi wanaosubiria mkono wa binadamu udondoke wakati mwanadamu anapoitembeza migono kwa nguvu huashiria afya njema.
 
Back
Top Bottom