johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Asante mr popoMwenyekiti wa chadema Mh Mbowe akiwa na Chopa amefanya mkutano wa kwanza Kansay Karatu mkoani Arusha
Ndani ya Chopa wamo pia Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema
Ni Safari ya Matumaini bila Mbambamba
Ahsanteni Sana ๐๐๐ฅ
Yule askofu wa mchongo yupo!Mwenyekiti wa chadema Mh Mbowe akiwa na Chopa amefanya mkutano wa kwanza Kansay Karatu mkoani Arusha
Ndani ya Chopa wamo pia Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema
Ni Safari ya Matumaini bila Mbambamba
Ahsanteni Sana ๐๐๐ฅ
Na kuwaaga Wanachama Kabisa ๐Ni muda kidogo umepita bila kusikia asemayo Mwenyekiti Mbowe kwenye mikutano ya namna hii. Anafanya mikutano, lakini anayozungumzia kwa wananchi watoa habari wanakuwa hawayafikishi kwa wale ambao hawakuwa kwenye mikutano hiyo.
Ni wakati sasa Mwenyekiti apewe nafasi yake ya wananchi kumsikiliza sehemu mbalimbali.
Hayo ya "kuwaaga" ni mengine, mbona unavuruga mada uliyo ileta wewe mwenyewe?Na kuwaaga Wanachama Kabisa ๐
Mikutano kama hii ndio Zitto Kabwe aliitumia kuwaaga Wanachama wa ACT WazalendoHayo ya "kuwaaga" ni mengine, mbona unavuruga mada uliyo ileta wewe mwenyewe?
Najuwa hii nayo ni fani, (kupoteza lengo) watu wanakwenda vyuoni kuisomea na kuendesha maisha yao.Mikutano kama hii ndio Zitto Kabwe aliitumia kuwaaga Wanachama wa ACT Wazalendo
Vipi ule ugomvi wao umeisha? Hahahahaah CCM huwa wanawashwa masikioMwenyekiti wa chadema Mh Mbowe akiwa na Chopa amefanya mkutano wa kwanza Kansay Karatu mkoani Arusha
Ndani ya Chopa wamo pia Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema
Ni Safari ya Matumaini bila Mbambamba
Ahsanteni Sana ๐๐๐ฅ
Hivi ugomvi wa Mpina na Bashe unaamuliwa lini? Wananchi tunasubiri kwa hamu sana.Vipi ule ugomvi wao umeisha? Hahahahaah CCM huwa wanawashwa masikio
Lisu asipande tu hiyo Chupa๐Vipi ule ugomvi wao umeisha? Hahahahaah CCM huwa wanawashwa masikio
Chama chakavu wana mpango wa kumtoa roho kabisa Mpina maana wamejadiliana kuwa hata kama wakimfukuza uanachama ataendelea kuwasumbua.Hivi ugomvi wa Mpina na Bashe unaamuliwa lini? Wananchi tunasubiri kwa hamu sana.
CCM wana laana hawa. Polepole alishasema ccm wanaishi kwa fitina, kurogana na kuuana.Chama chakavu wana mpango wa kumtoa roho kabisa Mpina maana wamejadiliana kuwa hata kama wakimfukuza uanachama ataendelea kuwasumbua.
Mbona hujauliza kuhusu Mnyika mwenye cheo chake ndani ya chadema. Msigwa ni nani chadema hadi utake kumuona?Mbona simuoni Mchungaji Peter Msigwa.
Inamaana katengwa au?๐๐
Zile porojo zenu za Lumumba kuwa CHADEMA kuna mgogoro umeziacha unamrukia Mwanamapinduzi๐๐Yule askofu wa mchongo yupo!
Hivi ugomvi wa Mpina na Bashe unaamuliwa lini? Wananchi tunasubiri kwa hamu sana.