Mbowe: Uchaguzi wa 2020 ulipelekea Wanachadema 417 kubambikiwa kesi na kufungwa kwa dhuluma

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Hayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali.

Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au hoja zaidi ya 20 ktk majadiliano yake na upande wa Ccm na serikali. Na

Wakati alipotoa hotuba yake hoja 5 ndiyo zilikuwa zimejadiliwa. Hoja hizo zinahusu Katiba mpya, wafungwa 417 wa Chadema, mikutano ya hadhara ya kisiasa

Unaweza kufuatilia ufafanuzi mrejesho wa mazungumzo ya maridhiano ktk video kuanzia 4:11:18

cc Erythrocyte
 
..Hayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali.

..Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au hoja zaidi ya 20 ktk majadiliano yake na upande wa Ccm na serikali. Na

..Wakati alipotoa hotuba yake hoja 5 ndiyo zilikuwa zimejadiliwa. Hoja hizo zinahusu Katiba mpya, wafungwa 417 wa Chadema, mikutano ya hadhara ya kisiasa,...

..Unaweza kufuatilia ufafanuzi mrejesho wa mazungumzo ya maridhiano ktk video kuanzia 4:11:18

cc Erythrocyte

safi sana tena sana Mbowe
 
Magufuli alikua mnyama sana, pampja na kupata yote aliyotaka bado alifunga wapinzani, kuteka, kuua au kuumiza wengine.

Halafu baada ya madhila yote aliyopitia Mbowe na wenzake bado kuna kima wanaleta upuuzi eti sijui walamba asali.

Hii nchi ina watu wa hovyo sana
 
magufuli alikuwa shetani kuwahi kutokea "duniani". Hivi kuna watoto amewaacha duniani? Mke wake anasemaje? Lile jitu lilikuwa katili sana kuwahi kutokea, mithili ya Idd Amin!
 
..ktk majadiliano hayo, timu ya ccm inaongozwa na Mzee Abdulrahman Kinana, na timu ya cdm inaongozwa na Mzee Freeman Mbowe.
 
Hayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali.

Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au hoja zaidi ya 20 ktk majadiliano yake na upande wa Ccm na serikali. Na

Wakati alipotoa hotuba yake hoja 5 ndiyo zilikuwa zimejadiliwa. Hoja hizo zinahusu Katiba mpya, wafungwa 417 wa Chadema, mikutano ya hadhara ya kisiasa

Unaweza kufuatilia ufafanuzi mrejesho wa mazungumzo ya maridhiano ktk video kuanzia 4:11:18

cc Erythrocyte
Mungu ibariki Chadema
 
..waliohusika na udhalimu wa kufungulia Watz wenzetu kesi za uongo na kuwafunga kwa dhuluma wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.
 
..kama wafungwa wote wameshatoka, chadema waachane na mazungumzo.
 
..waliohusika na udhalimu wa kufungulia Watz wenzetu kesi za uongo na kuwafunga kwa dhuluma wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.

Sioni hilo likifanyika chini ya utawala huu wa CCM uliopoteza ushawishi kwa umma. Ifahamike mbinu zile za Magufuli bado zitaendelea kutumika na CCM pindi hali inapozidi kuwa ngumu kwao. Ikitokea mabadiliko ya chama kukaa madarakani hilo linawezekana, lakini chini ya CCM, kulindana ni jadi yao.
 
magufuli alikuwa shetani kuwahi kutokea "duniani". Hivi kuna watoto amewaacha duniani? Mke wake anasemaje? Lile jitu lilikuwa katili sana kuwahi kutokea, mithili ya Idd Amin!
Kama mnavyomtaja kama Shetani... Ila tokea mfumo wa vyama vingi uanzishwe hakuna Kiongozi aliyewahi kuaminiwa na wananchi kama huyo shetani. Nahuo ndiyo ukweli
 
FB_IMG_1619042485662.jpg
 
Back
Top Bottom