Naunga mkono..waliohusika na udhalimu wa kufungulia Watz wenzetu kesi za uongo na kuwafunga kwa dhuluma wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono..waliohusika na udhalimu wa kufungulia Watz wenzetu kesi za uongo na kuwafunga kwa dhuluma wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.
..waliofungwa Arusha.
..waliofungwa Ukerewe.
Hayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali.
Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au hoja zaidi ya 20 ktk majadiliano yake na upande wa Ccm na serikali. Na
Wakati alipotoa hotuba yake hoja 5 ndiyo zilikuwa zimejadiliwa. Hoja hizo zinahusu Katiba mpya, wafungwa 417 wa Chadema, mikutano ya hadhara ya kisiasa
Unaweza kufuatilia ufafanuzi mrejesho wa mazungumzo ya maridhiano ktk video kuanzia 4:11:18
cc Erythrocyte