Mbowe: Uchaguzi wa 2020 ulipelekea Wanachadema 417 kubambikiwa kesi na kufungwa kwa dhuluma

Mbowe: Uchaguzi wa 2020 ulipelekea Wanachadema 417 kubambikiwa kesi na kufungwa kwa dhuluma

Hayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali.

Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au hoja zaidi ya 20 ktk majadiliano yake na upande wa Ccm na serikali. Na

Wakati alipotoa hotuba yake hoja 5 ndiyo zilikuwa zimejadiliwa. Hoja hizo zinahusu Katiba mpya, wafungwa 417 wa Chadema, mikutano ya hadhara ya kisiasa

Unaweza kufuatilia ufafanuzi mrejesho wa mazungumzo ya maridhiano ktk video kuanzia 4:11:18

cc Erythrocyte

Wakata mapanga wamekatana huko dodoma
 
JamiiForums753274111.jpg
 
Hayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali.

Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au hoja zaidi ya 20 ktk majadiliano yake na upande wa Ccm na serikali. Na

Wakati alipotoa hotuba yake hoja 5 ndiyo zilikuwa zimejadiliwa. Hoja hizo zinahusu Katiba mpya, wafungwa 417 wa Chadema, mikutano ya hadhara ya kisiasa

Unaweza kufuatilia ufafanuzi mrejesho wa mazungumzo ya maridhiano ktk video kuanzia 4:11:18

cc Erythrocyte

busy

Serikali ya INDIA imetoa RUPEE BILION 89 kwa ajili ya ujengaji wa miji mipya 67 nchini Tanzania… Ewe mwananchi wa jf toa maoni yako hapa pendekeza miji hiyo mipya ijengwe na nani na kwenye mikoa/wilaya/kijiji gani hapa tanzania… watoto weo wamekuwa kwenye uwekezaji wa huna lolote na ni kufa tu!:

MIKOA/WILAYA/KIJIJI GANI FEDHA ZIENDE!?

Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneo - Wikipedia, kamusi elezo huru

TAASISI GANI IFANYA KAZI YA UJENZI!?

SUMA JKT

Ujenzi, Uhandisi na Ushauri

TBA

Home | Tanzania Buildings Agency

NHC

VICTORIA PLACE - DAR ES SALAAM

KAMPUNI ZA UJENZI

https://jumaco.co.tz/

HONGERA WAAAAA!!? HONGERA WAAA!? CHEI CHEI SHANGAZI CHEI CHEI SHANGAZI!?

MTU BINAFSI NS MAAMUZI YAKO ILA USISAHAU WALETA HII HAPA CHINI

Rwandan genocide - Wikipedia
 
Back
Top Bottom