safi sana tena sana Mbowe..Hayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali.
..Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au hoja zaidi ya 20 ktk majadiliano yake na upande wa Ccm na serikali. Na
..Wakati alipotoa hotuba yake hoja 5 ndiyo zilikuwa zimejadiliwa. Hoja hizo zinahusu Katiba mpya, wafungwa 417 wa Chadema, mikutano ya hadhara ya kisiasa,...
..Unaweza kufuatilia ufafanuzi mrejesho wa mazungumzo ya maridhiano ktk video kuanzia 4:11:18
cc Erythrocyte
magufuli alikuwa shetani kuwahi kutokea "duniani". Hivi kuna watoto amewaacha duniani? Mke wake anasemaje? Lile jitu lilikuwa katili sana kuwahi kutokea, mithili ya Idd Amin!Magufuli alikua mnyama sana, pampja na kupata yote aliyotaka bado alifunga wapinzani, kuteka, kuua au kuumiza wengine.
Halafu baada ya madhila yote aliyopitia Mbowe na wenzake bado kuna kima wanaleta upuuzi eti sijui walamba asali.
Hii nchi ina watu wa hovyo sana
Hapana Mbowe siyo mlamba sali hata kidogo! msikilize saa ya 4:11 katika clip hiiHalafu baada ya madhila yote aliyopitia Mbowe na wenzake bado kuna kima wanaleta upuuzi eti sijui walamba asali.
Mungu ibariki ChademaHayo yameelezwa na Mh.Freeman Mbowe wakati akitoa mrejesho kuhusu hatua zilizofikiwa ktk mazungumzo ya maridhiano baina ya Chadema, Ccm, na serikali.
Kulingana na Mh.Mbowe Chadema ina ajenda au hoja zaidi ya 20 ktk majadiliano yake na upande wa Ccm na serikali. Na
Wakati alipotoa hotuba yake hoja 5 ndiyo zilikuwa zimejadiliwa. Hoja hizo zinahusu Katiba mpya, wafungwa 417 wa Chadema, mikutano ya hadhara ya kisiasa
Unaweza kufuatilia ufafanuzi mrejesho wa mazungumzo ya maridhiano ktk video kuanzia 4:11:18
cc Erythrocyte
Itakuwa ni Busara kwa kutoiingiza Familia yake kama Watoto na Mke.Hivi kuna watoto amewaacha duniani? Mke wake anasemaje
Kila Ubaya utalipwa..waliohusika na udhalimu wa kufungulia Watz wenzetu kesi za uongo na kuwafunga kwa dhuluma wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.
..waliohusika na udhalimu wa kufungulia Watz wenzetu kesi za uongo na kuwafunga kwa dhuluma wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.
Kama mnavyomtaja kama Shetani... Ila tokea mfumo wa vyama vingi uanzishwe hakuna Kiongozi aliyewahi kuaminiwa na wananchi kama huyo shetani. Nahuo ndiyo ukwelimagufuli alikuwa shetani kuwahi kutokea "duniani". Hivi kuna watoto amewaacha duniani? Mke wake anasemaje? Lile jitu lilikuwa katili sana kuwahi kutokea, mithili ya Idd Amin!
Kumbe kuna team ziko zina run mambokimya kimya?..ktk majadiliano hayo, timu ya ccm inaongozwa na Mzee Abdulrahman Kinana, na timu ya cdm inaongozwa na Mzee Freeman Mbowe.