Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Ulipoingia ugonjwa wa Corona viongozi wa Chadema kama kawaida yao walilichukulia hilo gonjwa kama gia ya kupatia kiki kisiasa, wakaanza kutoroka bunge na kujifungia, wakalazimisha nchi nzima iwe na lockdown, wakalazimisha chanjo!
Bila kiongozi shupavu Hayati Magufuli bila shaka Tanzania ingefuata mkumbo wa mataifa mengine na kufanya lockdown kwa wananchi kitendo ambacho kingeleta madhara makubwa kwenye uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla.
Rais Magufuli alionya mapema kabisa kwamba hii corona inatumika kama vita ya kiuchumi lakini Freeman Mbowe akapinga, leo uchumi wa nchi zilizofanya lockdown umeanguka, hali ni mbaya mfano Kenya sasa hata mishahara kulipa ni shida.