Mbowe uling'ang'ania lockdown, umeona kilichotokea kwenye uchumi wa Kenya?

Bila shaka huyu Mbowe ndiye alikutoa usichana wako maana huishi kumtajataja.
 
Kwenye ishu ya Covid19 Hayati Magufuli alicheza kama Pele. Ni kitu alichokipatia mno. Usipoteze muda kumlaumu Mbowe. Wakati ule alibaniwa sana ulaji wake ndo maana akawa anajiropokea kuhusu lockdown.. kwa sasa hivi umeona akipinga chochote?
 
Ambao hatukujifungia wala kuumwa hii tunaona kama ujinga tu
 
Ambao hatukujifungia wala kuumwa hii tunaona kama ujinga tu
Shukuru bro!
1 Thessalonians 5:18
[18]In every thing give thanks: for this is the will of God in Christ Jesus concerning you.
shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye ishu ya Covid19 Hayati Magufuli alicheza kama Pele. Ni kitu alichokipatia mno. Usipoteze muda kumlaumu Mbowe. Wakati ule alibaniwa sana ulaji wake ndo maana akawa anajiropokea kuhusu lockdown.. kwa sasa hivi umeona akipinga chochote?
Hapingi chochote naona anazidi kunenepa tu
 
Acha kusingizia Yesu kwenye mambo ya kijinga
 
Chadema ina viongozi wasio na maono
 
Watatoa wapi macho ya kuona mbele hao wapinzani na wapingaji wa kila kitu?
 
Huko ambako hamkwenda lockdown unajua walikufa watu wangapi labda akiwamo shujaa mwenyewe na wapambe wake?
 
Huyu bwana ni mpumbavu sana kila kukicha anaokoteza vihoja anaviweka hapa. Badala ili mradi yeye amtaje lisu, lema, mbowe nk .
Kama yeye anajua kutetea haki za wqtanzania mbona anatetea magenge ya majambazi akina sabaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…