Mbowe umejifunza kuwa : People speak at people not to people

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna watu uliwaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa
Ni

1. Best friends

2. Best family friends

3. Significnt others
akina Lisu, Lema, Heche these three in particular, and a few others.

Si kwa vile wamekuwa washindani wako, ni haki yao, ndiyo demokrasia, hapana bali namna walivyoendesha ushindani wao kwako wameonesha kuwa ni

1. Best enemies to say the list

Moyo wa bindamu ni msitu mnene! nadhani umejifunza ukubwani

Kesho kwenye Kamati Kuu yenu usijisahau kuwa una marafiki umekaa nao!

MBOWE "AMEAGIZA" KUFANYA TRUTH AND RECONSILITION........ UJUE KUWA HAYA YAMETOKEA KWENYE KAMPENI.....

see clip blow
1. Watu waliumizwa
2. Haki za watu zilivunjwa
3. Kulikuwa na uonevu kwa baadhi ya Watu
 
Attachments

  • MBOWE.mp4
    36.7 MB
Kwenye vita silaha inayokuvusha ndo unaitumia, subject ni Chadema, ndo imefanya wawe marafiki, kama kuna mtu anaamini mwingine anaiharibu atafanya linalowezekana kuiokoa
 
Mkuu Retired ukweli ni kwamba sote tumejifunza katika uchaguzi wa CDM. Hata tume ya uchaguzi na wenzetu wa vyama vya upande mwingine wamepata somo kubwa. Tudumishe umoja na mshikamano, tuvunje makundi na kuunganisha nguvu. Uchaguzi wa ndani umekwisha tufikirie na kujianda kwa uchaguzi wa nje unaokuja.
 
Kuna watu uliwaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa
Ni

1. Best friends

2. Best family friends

3. Significnt others
akina Lisu, Lema, Heche these three in particular, and a few others.

Si kwa vile wamekuwa washindani wako, ni haki yao, ndiyo demokrasia, hapana bali namna walivyoendesha ushindani wao kwako wameonesha kuwa ni

1. Best enemies to say the list

Moyo wa bindamu ni msitu wa mnene! nadhani umejifunza ukubwani

Kesho kwenye Kamati Kuu yenu usijisahau kuwa una marafiki umekaa nao!
Wacha uchochezi, uchaguzi umekwisha tuna kazi ya kuikabili CCM pamoja. Wewe unaoneka ndiyo adui mkubwa wa chama kwani siku zote unazungumzia watu kuondoka Chadema,nilishakuambia kuwa mtaji wa chama chochote ni wingi wa wanachama na wafuasi kwa vile wewe ni mfuasi wa Mbowe na si Chadema ndiyo maana bado unaleta uchochezi na kutaka mfarakano,sisi ambao tumefanya kazi ya kuhamasisha na kuandikisha wanachama tena kwa kujitolea ndiyo tunajua thamani ya wanachama. Wewe umetanguliza mahaba yako kwa Mbowe tu huna uchungu na hiki chama. Wewe ni adui namba moja wa Chadema. Mbowe bado ni mtu muhimu ndani ya Chadema na mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu. Please stop this nonsense of yours.
 
Mkuu Retired ukweli ni kwamba sote tumejifunza katika uchaguzi wa CDM. Hata tume ya uchaguzi na wenzetu wa vyama vya upande mwingine wamepata somo kubwa. Tudumishe umoja na mshikamano, tuvunje makundi na kuunganisha nguvu. Uchaguzi wa ndani umekwisha tufikirie na kujianda kwa uchaguzi wa nje unaokuja.
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
 
Uchaguzi umekwisha Chadema imerudi kuwa moja wacha uchochezi.
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani
Don't hold the grudge. Yaliyopita yamepita maisha lazima yaendelee.Ifike mahali tujifunze kukubaliana kutokukubaliana, let us agree to disagree na huo ndio ukomavu kwa sisi tulioenda jando na kutahiriwa bila ganzi. Tusiwe kama hatujaenda na kuishi maisha ya tohara.

Tujifunze kuachilia. Jifunze kuachilia.
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
FAM Yeye anachomlaumu TAL ni kumsaidia makazi wakati anapitia changamoto zako hapo nyuma kitu ambacho hakiingiliani kabisaa yaani haiwezekani nikuache hivihivi au ninyamaze kimya ukikosea heshima eti kisa ulinisaidia mahali siwezi kuwa kwenye kifungo cha kijinga namna hiyo
 
Umenena vyema. Hayo yalikuwa mapungufu ya FAM. Tukumbuke hakuna mkamilifu binadamu anayeishi. Ukiwa unaishi na hai unaweza kukosea. muda wowote.
 
Kuna watu uliwaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa
Ni

1. Best friends

2. Best family friends

3. Significnt others
akina Lisu, Lema, Heche these three in particular, and a few others.

Si kwa vile wamekuwa washindani wako, ni haki yao, ndiyo demokrasia, hapana bali namna walivyoendesha ushindani wao kwako wameonesha kuwa ni

1. Best enemies to say the list

Moyo wa bindamu ni msitu wa mnene! nadhani umejifunza ukubwani

Kesho kwenye Kamati Kuu yenu usijisahau kuwa una marafiki umekaa nao!
Bado unaweweseka. Kama unampenda sana Mbowe amua kuishi naye. Chadema has voted.
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
Sasa hayo mnayoambiana na Mbowe chumbani baki nayo huko huko. Bado unaweweseka. Una mahaba sana na Mbowe. Chadema imeamua Lissu ndiye aliyependwa na kuaminiwa na wanachadema. Unayoongea na Mbowe mbaki nayo huko huko. Pole kwa kuumia. Nyie ndo vijana mnaopenda Pombe na Nyama za Bure. Ni hasara kwa Taifa.
 
Mkuu Retired ukweli ni kwamba sote tumejifunza katika uchaguzi wa CDM. Hata tume ya uchaguzi na wenzetu wa vyama vya upande mwingine wamepata somo kubwa. Tudumishe umoja na mshikamano, tuvunje makundi na kuunganisha nguvu. Uchaguzi wa ndani umekwisha tufikirie na kujianda kwa uchaguzi wa nje unaokuja.
Hii ni akili iliyopevuka!! Retired anataka tuanze kujadili watu. Mbowe kajifunza, CCM wamejifunza. Sasa ni wakati wa Samia kuwakana CHAWA ili wasimtumbukize shimoni pia
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
Apumzike!! CHADEMA siyo mali yake, ni taasisi ya umma.

Aliambiwa apumzike kulinda heshima mdogo aliyobaki nayo akakaidi; Sasa hapo ndipo alipoangukia na hapo ndipo unatakiwa umfariji unapokuwa unakunywa mtori nyumbani kwake.

Hatutaki majungu
 
Si kwa vile wamekuwa washindani wako, ni haki yao, ndiyo demokrasia, hapana bali namna walivyoendesha ushindani wao kwako wameonesha kuwa ni
Tuwekee na ile kauli yake tata iliyomshitua Lisu
 
Back
Top Bottom