Mbowe umejifunza kuwa : People speak at people not to people

Wacha uchochezi, uchaguzi umekwisha tuna kazi ya kuikabili CCM pamoja. Wewe unaoneka ndiyo adui mkubwa wa chama kwani siku zote unazungumzia watu kuondoka Chadema,nilishakuambia kuwa mtaji wa chama chochote ni wingi wa wanachama na wafuasi kwa vile wewe ni mfuasi wa Mbowe na si Chadema ndiyo maana bado unaleta uchochezi na kutaka mfarakano,sisi ambao tumefanya kazi ya kuhamasisha na kuandikisha wanachama tena kwa kujitolea ndiyo tunajua thamani ya wanachama. Wewe umetanguliza mahaba yako kwa Mbowe tu huna uchungu na hiki chama. Wewe ni adui namba moja wa Chadema. Mbowe bado ni mtu muhimu ndani ya Chadema na mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu. Please stop this nonsense of yours.
Stop contradicting yourself:
Huyo Mbowe umemtaja hivi-
"Kuwa anatanguliza mahaba yake kwa Mbowe hana uchungu na Chadema".

"Mbowe BADO ni mtu muhimu ndani ya chama na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu".

Kwanini wasimfuate Mbowe ambaye unamwita MTU MUHIMU kwa sasa ndani ya chama,wafuate nani kama si Alpha na Omega wa Chadema?
Usione vinaelea vimeundwa.
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
Tatizo ulikuwa uchaguzi wa kisasi,
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
Kama unampenda sana Mbowe mchukue ukanywe naye chai.
20250122_202243.jpg
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
Hii hata mimi nimejifunza mengi sana,hakika wewe,mimi na hata Mbowe tumejikuta tukijifunza zaidi na zaidi kuhusu huyu mnyama Mwanadamu.

Aina ya kampeni wakizozifanya team ya Lissu na Heche ungefikiri Mbowe ni chama kingine kabisa.

Dharau matusi na kusingiziwa mambo yote mabaya unamwona Lissu ni kiongozi wa aina gani.
 
Kuna watu uliwaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa
Ni

1. Best friends

2. Best family friends

3. Significnt others
akina Lisu, Lema, Heche these three in particular, and a few others.

Si kwa vile wamekuwa washindani wako, ni haki yao, ndiyo demokrasia, hapana bali namna walivyoendesha ushindani wao kwako wameonesha kuwa ni

1. Best enemies to say the list

Moyo wa bindamu ni msitu mnene! nadhani umejifunza ukubwani

Kesho kwenye Kamati Kuu yenu usijisahau kuwa una marafiki umekaa nao!

MBOWE "AMEAGIZA" KUFANYA TRUTH AND RECONSILITION........ UJUE KUWA HAYA YAMETOKEA KWENYE KAMPENI.....

see clip blow
1. Watu waliumizwa
2. Haki za watu zilivunjwa
3. Kulikuwa na uonevu kwa baadhi ya Watu
Mbowe ana busara sana, ni vile tu nyie machawa mlitaka kumpotosha.
 
Chama Cha siasa siyo familia hasa chama kinacho dhamiria kuchukua Dola, lazima kuwe na watu wanao weza kuthubutu

A political party will need brave people to pave a way forward
 
Sasa hayo mnayoambiana na Mbowe chumbani baki nayo huko huko. Bado unaweweseka. Una mahaba sana na Mbowe. Chadema imeamua Lissu ndiye aliyependwa na kuaminiwa na wanachadema. Unayoongea na Mbowe mbaki nayo huko huko. Pole kwa kuumia. Nyie ndo vijana mnaopenda Pombe na Nyama za Bure. Ni hasara kwa Taifa.
Najiuliza moyoni mwangu:
Hivi FAM angekuwa hana pesa kama TAL, angepata Kura Asilimia ngapi?
Kagharamia Mkutano Mkuu, bado kashindwa.
Sasa angekuwa masikini mwenzetu, hali ingekuwaje?
 
Na wananchi tumejifunza nini ? Naona ni yaleyale tu bado tunajadili events na personalities badala ya Issues na different ideas za kututoa hapa...., Yaani badala ya kubadilisha chupa hatujapanga kubadilisha mvinyo au ni vipi tunataka Mvinyo huo uwepo na ufanye kazi..., Mfano hata hili neno Demokrasia..., ni kitu gani hiki tunachokiita Demokrasia

Stop contradicting yourself:
Huyo Mbowe umemtaja hivi-
"Kuwa anatanguliza mahaba yake kwa Mbowe hana uchungu na Chadema".

"Mbowe BADO ni mtu muhimu ndani ya chama na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu".

Kwanini wasimfuate Mbowe ambaye unamwita MTU MUHIMU kwa sasa ndani ya chama,wafuate nani kama si Alpha na Omega wa Chadema?
Usione vinaelea vimeundwa.
Wewe naona umelewa kama umeshindwa kuelewa nilichoandika sina muda na wewe.
 
Kuna watu uliwaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa
Ni

1. Best friends

2. Best family friends

3. Significnt others
akina Lisu, Lema, Heche these three in particular, and a few others.

Si kwa vile wamekuwa washindani wako, ni haki yao, ndiyo demokrasia, hapana bali namna walivyoendesha ushindani wao kwako wameonesha kuwa ni

1. Best enemies to say the list

Moyo wa bindamu ni msitu mnene! nadhani umejifunza ukubwani

Kesho kwenye Kamati Kuu yenu usijisahau kuwa una marafiki umekaa nao!

MBOWE "AMEAGIZA" KUFANYA TRUTH AND RECONSILITION........ UJUE KUWA HAYA YAMETOKEA KWENYE KAMPENI.....

see clip blow
1. Watu waliumizwa
2. Haki za watu zilivunjwa
3. Kulikuwa na uonevu kwa baadhi ya Watu
Binadamu angekuwa hana tumbo angekuwa,mtu mzuri. Lakini tumbo ndio tatizo.
 
Kuna watu uliwaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa
Ni

1. Best friends

2. Best family friends

3. Significnt others
akina Lisu, Lema, Heche these three in particular, and a few others.

Si kwa vile wamekuwa washindani wako, ni haki yao, ndiyo demokrasia, hapana bali namna walivyoendesha ushindani wao kwako wameonesha kuwa ni

1. Best enemies to say the list

Moyo wa bindamu ni msitu mnene! nadhani umejifunza ukubwani

Kesho kwenye Kamati Kuu yenu usijisahau kuwa una marafiki umekaa nao!

MBOWE "AMEAGIZA" KUFANYA TRUTH AND RECONSILITION........ UJUE KUWA HAYA YAMETOKEA KWENYE KAMPENI.....

see clip blow
1. Watu waliumizwa
2. Haki za watu zilivunjwa
3. Kulikuwa na uonevu kwa baadhi ya Watu
Mwache Mbowe apumzike 🐼
 
Back
Top Bottom