Mbowe umejifunza kuwa : People speak at people not to people

Stop contradicting yourself:
Huyo Mbowe umemtaja hivi-
"Kuwa anatanguliza mahaba yake kwa Mbowe hana uchungu na Chadema".

"Mbowe BADO ni mtu muhimu ndani ya chama na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu".

Kwanini wasimfuate Mbowe ambaye unamwita MTU MUHIMU kwa sasa ndani ya chama,wafuate nani kama si Alpha na Omega wa Chadema?
Usione vinaelea vimeundwa.
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
Tatizo ulikuwa uchaguzi wa kisasi,
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
Kama unampenda sana Mbowe mchukue ukanywe naye chai.
 
Not me! Kuna makundi ya uchaguzi na makundi ya uchaguzi maadui. Tenganisha hayo mawili. Lisu ni kundi adui! Hata Mbowe alisema kuna wakati namwangalia Lisu najiuliza, kweli huyu ni Lisu ninayemfahamu! Unadhani ujumbe huo una message gani?
Hii hata mimi nimejifunza mengi sana,hakika wewe,mimi na hata Mbowe tumejikuta tukijifunza zaidi na zaidi kuhusu huyu mnyama Mwanadamu.

Aina ya kampeni wakizozifanya team ya Lissu na Heche ungefikiri Mbowe ni chama kingine kabisa.

Dharau matusi na kusingiziwa mambo yote mabaya unamwona Lissu ni kiongozi wa aina gani.
 
Mbowe ana busara sana, ni vile tu nyie machawa mlitaka kumpotosha.
 
Chama Cha siasa siyo familia hasa chama kinacho dhamiria kuchukua Dola, lazima kuwe na watu wanao weza kuthubutu

A political party will need brave people to pave a way forward
 
Najiuliza moyoni mwangu:
Hivi FAM angekuwa hana pesa kama TAL, angepata Kura Asilimia ngapi?
Kagharamia Mkutano Mkuu, bado kashindwa.
Sasa angekuwa masikini mwenzetu, hali ingekuwaje?
 
Na wananchi tumejifunza nini ? Naona ni yaleyale tu bado tunajadili events na personalities badala ya Issues na different ideas za kututoa hapa...., Yaani badala ya kubadilisha chupa hatujapanga kubadilisha mvinyo au ni vipi tunataka Mvinyo huo uwepo na ufanye kazi..., Mfano hata hili neno Demokrasia..., ni kitu gani hiki tunachokiita Demokrasia

Wewe naona umelewa kama umeshindwa kuelewa nilichoandika sina muda na wewe.
 
Binadamu angekuwa hana tumbo angekuwa,mtu mzuri. Lakini tumbo ndio tatizo.
 
Mwache Mbowe apumzike 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…