Uchaguzi 2020 Mbowe umekumbwa na nini?

Mkuu umenifumbua macho, kuna habari mbaya zinaenea kuwa robertison wa Amsterdam hajao,je atakuwa ktk mahusiano ya aina gani
Amekasirika robert amsterdam anazingua hatumi pesa kama alivyoahidi Mbowe hesabu yake ilikua Membe ila amsterdam akamuomba Mbowe amsimamishe Lissu siku zinakatika amsterdam hajibu barua pepe!
 
maendeleo ya taifa sio la raia kuwa na hela mfukoni mkuu.
Bali ni kuwa kama Ethiopia?Hamjiulizi kwanin pamoja na Ethiopia kuwa na Ndege na barabara lakini watu wake wanajipakia kwenye makontena kwenda kutafuta maisha nchi nyingine?
Ndio tunataka tufike huko?Maendeleo lazima pia yatafsirike katika maisha ya watu!
Uwezo wa watu kukopa na kurejesha mikopo kwenye mabank umeshuka sana!Hii inamaana kuwa mzunguko wa fedha umeshuka hivyo kuwa vigumu kwa biashara mpya kufanikiwa!Hii yote ni kutokana na kupeleka fedha nyingi kwenye miradi ambako asilimia kubwa huenda kwenye makampuni ya nje na kuzorotesha mzunguko wa fedha nchini!Kodi inayokusanywa kutoka kwa wananchi inaenda kulipia miradi hiyo,mwananchi anabaki kama ng'ombe wa kukamuliwa maziwa!Badala ya kumpa chakula, maji ale vizuri awe na afya ili kesho atoe maziwa zaidi,anakamuliwa hivyo hivyo pamoja na kukondeana!
Sekta ya kilimo ambayo ndio inagusa maisha ya watanzania wengi nayo imebaki kuachwa nyuma badala ya kuwekewa kipaumbele,ajira napo imekuwa janga kubwa nchi hii!Wahitimu wanaambiwa wajiajiri na wakati huo huo mitaji ni changamoto!Hata wakikopa bado uhakika wa kurejesha ni wa mashaka kulingana na mzunguko kuwa mdogo!Mwisho wa siku ni kupigwa mnada kwa bondi walizoweka!
Tafakarini sio kuendeshwa na mahaba ya uvyama!Kweli ajira mil 6 zimepatikana miaka 5 iliyopita?Sasa mmeahidi ajira mpya mil 8 miaka 5 ijayo!Kweli????
 
Mbowe kajeruhiwa sana kisiasa, kiuchumi n.k ni basi tu anakomaa alitakiwa akae nje ya game kidogo ajitibu
 
2015 Lowasa alikuja na pesa, Mbowe alipiga pesa za kufwa mtu 2015. Mwaka huu ni ngonjera za Lissu hakuna pesa, japo jamaa alisoma alama za nyakati akachangisha wabunge in advance, halafu hizo pesa hazitakiwi kuuliziwa matumizi yake

That's Mbowe bwana!!
 
Hujaridhika na uliyoandika mpaka uwe wa kwanza kujijibu?

Mataga ya lumumba mnahaha sana, hamna hoja ni kupiga porojo!Mna kazi sana kumtetea huyo anayestahili kuwa Nyampara wa barabara na sio rais wa nchi!
Hapo alijisahau tu! Alifikiri ameitumia Ile ID nyingine!
 
Hivi huko lummumba mmeishiwa kabisa, hamna SERA zinazouzika kwa wananchi wanaohitaji maendeleo ?
In the 1980s, the Securitate launched a massive campaign to stamp out dissent in Romania, manipulating the country's population with vicious rumors (such as supposed contacts with Western intelligence agencies), machinations, frameups, public denunciations, encouraging conflict between segments of the population, public humiliation of dissidents, toughened censorship and the repression of even the smallest gestures of independence by intellectuals.
 
Kama kuna kiongozi wa chama cha siasa anaetakiwa kupewa tuzo za heshima ni Mbowe. Amekua akipitia seke seke nyingi juu ya chama chake na hakati tamaa Mbowe si mwanasiasa aina ya lijualikali.
 
Hope wote ni watu wazima wanajua nini chakufanya. Acha wapambane
 
Watu WAJINGA MASIKINI NA WAPUMBAVU kama wewe ndio mtaji wa CCM.
 
Mkuu acha kuweweseka, Mbowe mwenyewe anajua mgombea wa chadema ni galasa ndio maana amenywea
Hujaridhika na uliyoandika mpaka uwe wa kwanza kujijibu?

Mataga ya lumumba mnahaha sana, hamna hoja ni kupiga porojo!Mna kazi sana kumtetea huyo anayestahili kuwa Nyampara wa barabara na sio rais wa nchi!
 
Mbowe mwaka huu hana raha kabisa!

Uchguzi wa mwaka huu haujamuingizia hela kama miaka mingine kabisa,
 
Kama kuna kiongozi wa chama cha siasa anaetakiwa kupewa tuzo za heshima ni Mbowe. Amekua akipitia seke seke nyingi juu ya chama chake na hakati tamaa Mbowe si mwanasiasa aina ya lijualikali.
Kumbe na we unajua kabisa ni chama chake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lissu yupi huyu rafiki wa robertison wa Amsterdam [emoji16]
Chadema wamejua kutia huruma
Bia yetu, nilishakuzuia kwenye hii mjadala usianzishe nyuzi utaaibika tu! Lissu katushika pabaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…