Uchaguzi 2020 Mbowe umekumbwa na nini?

Vipi lissu ataleta wabunge wangapi Chadema au anamtegemea robertison wa Amsterdam [emoji3]
Kwanza Anajua Mgombea wake ni Galasa kwa Magufuli
Anakamilisha wajibu tu
 
 
Kama kuna kiongozi wa chama cha siasa anaetakiwa kupewa tuzo za heshima ni Mbowe. Amekua akipitia seke seke nyingi juu ya chama chake na hakati tamaa Mbowe si mwanasiasa aina ya lijualikali.


mtoe uenyekiti uone kama atakua na huo uvumilivu
 
Mweleka tutamchapa kibaraka wa Mabeberu na rafiki wa robertison wa Amsterdam
Huu mweleka unamhusu MUMEWENYU MEKO tarehe 28oct Meko CHALI[emoji62][emoji62][emoji62][emoji23][emoji23][emoji23]
 
N Nasikia arusha alizomewa watu wanamtaka lema.
 
Naona ID johnthebaptist, imepunguziwa majukumu baada ya ID hii kurudi
 
Ulikuwa hujui Rais Magufuli kuwa ndio anatoa pesa?
 
Kuna ukweli ndani yake, sema makamanda sio rahisi kukuelewa
 
Upo Nchi gani
Rais Magufuli amepeleka umeme kila kijiji
Amepeleka Zahanati kila kijiji
Maji yanapatikana mjini kwa 90%,vijijini kwa 60%
Elimu bure kwa Watanzania

Nyie chadema mkaungane na robertison wa Amsterdam tu [emoji3]kubeba boksi

Acha takwimu za uongo mkuu...vijiji vingi havina huduma ya umeme wala maji, tena maji ndio uache uongo kabisa, watu wanakunywa na kuogea maji machafu pia hizo zahanati wananchi wanapata huduma bora za afya? kuna madawa?

kuna wafanyakazi sekta ya afya wanatosha? hawapo wa kutosha na wengi wapo mtaaani hawana ajira, hio elimu bure ni elimu bora au bora elimu sababu ni BURE waalimu wengi wanadai stahiki zao miaka na miaka hawajalipwa, hawapandishwi vyeo, mishahara mibovu na kiduchu, zaidi wengine wengi hawajaajiriwa wako mitaani...hizo ajira milioni 8 zinazosemwa zitatokea wapi kamw miaka mitano iliyopita unemployment rate imezidi kukuab..

tubishane kwa hoja na sio kumtaja robert na mafaili yake au ku relate comments zenye hoja na chama cha siasa chadema ukianza huko sitoweza mipasho nitakuacha ufanye mipasho na wengine.
 
Upo Nchi gani
Rais Magufuli amepeleka umeme kila kijiji
Amepeleka Zahanati kila kijiji
Maji yanapatikana mjini kwa 90%,vijijini kwa 60%
Elimu bure kwa Watanzania

Nyie chadema mkaungane na robertison wa Amsterdam tu [emoji3]kubeba boksi
Ni pesa za umma au za magufuli, tumia akili ulizonazo sio za kuazima, mambo yote anayofanya magufuli ni ilani ya 2015 ya ukawa
 
Kama ni ilani ya ukawa mbona Chadema wanapinga?

Au safari hii Chadema wameandikiwa ilani na robertison wa Amsterdam ambaye anakashifa za usodoma ?
Ni pesa za umma au za magufuli, tumia akili ulizonazo sio za kuazima, mambo yote anayofanya magufuli ni ilani ya 2015 ya ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…