Uchaguzi 2020 Mbowe umekumbwa na nini?

Reli inafanya maisha kuwa rahisi, km Unataka serkali ikugawie mkate utafia ndani
Bali la maflyover na reli kukarabatiwa huku wananchi wakishinda njaa na kukosa furaha siyo?
 
Mbowe ni jembe ccm wamejaribu kumnunua wameshindwa, wamemuhujumu Mali zake lakini bado anadunda na chadema inashamiri
 
Bado anauguza mguu aliovunjwa na waoga wa demokrasia na hata hivyo yupo vizuri tu.
 
Hv umeona kampeni za membe kweli huko kusini? Anatia huruma kwakweli
 
Mbowe Ni mwanasiasa msitaarabu Sana, tatizo mgombea urais waliyemweka anaongea kwa jazba na mihemuko Sana. Kitu ambacho mbowe hapendi Basi tu ishatokea.
 
Yaani,Chama,Dola,Wasanii ,Vyombo vya Habari....wote Wanapambana na Tundu Antipas Lissu! Huu Ni mkono wa Mungu!
Na kabla ya Oktoba 28 Mungu ataonesha utukufu na ukuu wake....mark my words!
 
Mbowe Ni mwanasiasa msitaarabu Sana, tatizo mgombea urais waliyemweka anaongea kwa jazba na mihemuko Sana. Kitu ambacho mbowe hapendi Basi tu ishatokea.
πŸ™„πŸ˜³πŸ™„πŸ˜³ he mnamsifia Mbowe! nyie !πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…