Uchaguzi 2020 Mbowe umekumbwa na nini?

Anauzika kumbe Chadema kila mtu biashara tu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe hana raha kabisa nilisalimiana naye hapa shinyanga kwenye ofis za chama hakuwa kwenye hali kabisa ya kampeni
 

Unaweza pia kupanua wigo wa mawazo yako kwamba pengine kazi anayofanya Tundu Lissu ni kubwa mno hivyo mgombea huyo anajiuza mwenyewe.Mbowe pengine ana machache sana ya kusema,mengi ana cover Lissu mwenyewe.Pengine angalia mikutano yote ambayo Mbowe yupo,amekuwa anasikiliza zaidi kuliko yeye kuongea.Kihasilia,Lissu ni muongeaji na ana kipaji cha kufundisha watu(mwalimu).Ni machache sana anaweza kusema Mbowe,hasa yale ya msisitizo wa Chama.Mbowe anamuamini Lissu 100%.
 
Tunahoji mbona Robertson wa Amsterdam hana mke?
Wewe unajuaje huyu ana mke huyu hana, hayo yanatuhusu nini sasa. Why don't you mind your own business?
Shallow minded people always talk about other people.
 
Amekasirika robert amsterdam anazingua hatumi pesa kama alivyoahidi Mbowe hesabu yake ilikua Membe ila amsterdam akamuomba Mbowe amsimamishe Lissu siku zinakatika amsterdam hajibu barua pepe!
Lumumba kwa uongo hamjambo
 
Amekasirika robert amsterdam anazingua hatumi pesa kama alivyoahidi Mbowe hesabu yake ilikua Membe ila amsterdam akamuomba Mbowe amsimamishe Lissu siku zinakatika amsterdam hajibu barua pepe!
Duh! wewe nikikuta peponi naondoka
 
Lissu kafika bei kwako, ila sio kwa watanzania walio wengi.
 
Mwenyekiti wa saccos, kazi anayo pale hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…