Sio ilishapangwa MBOWE ilikua lazima asitoboe! Wananchi wa HAI walishamchoka ,hamna chochote alochofanya! Ye mwenyewe analijua hilo!.Angalia hata gape la kura alizoachwa 87k kwa 22k wapi na wapi! Huyo kashindwa kihalali kabisa!Kushinda na kutangazwa ni vitu viwili tofauti. Huyu DC wala msimpe ujiko, hakuna alichofanya kumkwamisha Mbowe. Ilishapangwa nani atangazwe.
Kura za kwenye sandarusi?Sio ilishapangwa MBOWE ilikua lazima asitoboe! Wananchi wa HAI walishamchoka ,hamna chochote alochofanya! Ye mwenyewe analijua hilo!.Angalia hata gape la kura alizoachwa 87k kwa 22k wapi na wapi! Huyo kashindwa kihalali kabisa!.
Ndo kashashindwa DJ wenu! Pole sanaKura za kwenye sandarusi?
Kashindwa kupora kura Hakuwa na bunduki za kulindia kura.Ndo kashashindwa DJ wenu! Pole sana