Abdalah Abdulrahman
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 222
- 202
Chadema na ACT walipanga kabisa viongozi watoe matamko yatakayowapeleka kuwa chini ya ulinzi na sio kuwa mbele kwenye maandamano.
Maandamano yafanywe na wananchi wasio na uwezo wa kutafakari.Baada ya serikali kuwatahadharisha wananchi na kuwapa elimu sahihi hayakufanyika maandamano.
Jambo pekee lililobaki ni kuadhibu Watanzania wote wakiwemo wanachama wao kwa kuharibu mahusiano ya Tanznaia na jumuia za kimataifa.Hili jambo litawaadhibu pia wao kwani serikali makini haitawaacha wafanye uhuni huu huku wakiwa wanakula bata na Watanzania wanakufa.