Tangu zamaniKama kweli ni Mbowe kaandika hayo basi kaanza kuchanganyikiwa
Mwendakuzimu ilikuwa zikipigwa simu toka ubeberuni alikuwa anamsakizia polepole azipokee, yule mbabu alikuwa anakosa kabisa amani linapokuja suala la kuzungumza lugha za kibeberu.Magufuli kazitawala sana fikra zenu!
Hivi huwa unamuota ndotoni usiku?
Ukiwa unakunya, huwa unamuwaza Magufuli?
Huyu hapaMimi ni rais sipangiwi na mtu cha kufanya. Hii ilikuwa ni kauli pendwa ya mwendakuzimu na watz wapumbavu tukaisadiki kama torati, kuna wapumbavu wanamchukulia rais kama mungu mtu, kama tu rais kaombwa wito ili tujadiliane wadanganyika mmefura namna hii, sipati Picha siku rais akizabwa Kofi kama yule mfaransa sijui wadanganyika mtafuraje?
Mama asifanye kosa kwa kuwaita chadema peke yao, aviite vyama vyote ikiwezekana Kila chama cha upinzani kiwakilishwe na watu wasiozidi watano, chadema watajichagua wenyewe Nani ataenda na kwa kuwa CCM ndio chama tawala nao pia waalikwe kwa uwingi kidogo napendekeza CCM wawe si chini ya 30, hapo ndio kikao kiendelee.Mama anasubiri barua za vyama vingine kama UDP, CHAUMA, NCCR- MAGEUZI, CUF, TADEA, UPDP, ili akiwaita waende wote wakunywe chai ikulu
Hakuna mpuuzaji, Ila ni aibu kulazimisha mualiko! Kwa Kariba yake mbowe anajiaibisha anapolazimisha kukutana na Rais.Kuwa mpuuzi nacho ni kipaji, hivi mtu unapuuziaje demokrasia?
Upuuzi ni kipaji.
OkHakuna mpuuzaji, Ila ni aibu kulazimisha mualiko! Kwa Kariba yake mbowe anajiaibisha anapolazimisha kukutana na Rais.
Hizo sasa ni chuki.Mbowe is very arrogant, yaani Rais kaapishwa ndani ya wiki anaandika barua wakutane na Rais, who the hell is Mbowe? Yaani mtu hata hajakaa kupanga serikali yake, ww unaandika barua kutaka kukutana nae, mkiambiwa Mbowe Form 6 kapata division 0 kubwa sasa mnaanza kuelewa.. Very very arrogant. Tena ingakuwa mm ndio Mh. Rais, sikutani na mtu mpuuzi hivi, pumbaf kabisa Mbowe
Na wewe unakoses sana kumpangia Mwenyekiti Mbowe cha kuongea. Pambaneni na hali yenu nyie masalia ya dikteta MagufuliLeo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao.
Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta.
Hadi haoaa itoshe kusema chadema ni chama ambacho hakipo makini, ni vipi unaweza kumpangia Raisi ratiba zake?
Kama sasa hivi kabanwa atakutanaje na nyie? Mbowe ameenda mbali na kumtisha Rais eti ipo siku atatutafuta. Asipokutafuta utamfanya nini?
Walio karibu na mwenyekiti wampumzishe kidogo maana ni Kama Kuna kitu hakipo sawa kwenye medula.
#mamasamia kanyaga twende# kazi iendelee#
View attachment 1813320View attachment 1813322
CHADEMA wanatakaga kuonyesha kwamba wako very important! Chama cha Mbowe na cha Hashim Rungwe, vyote vina hadhi ile ile, ni vyama vya upinzani!Muda wa kwenda kugawa rasilimali zetu Kenya anao, kwanini wa kukutana na jemedari Mbowe kujenga umoja wa kitaifa, which is far better, hana!!?
Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao.
Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta.
Hadi haoaa itoshe kusema chadema ni chama ambacho hakipo makini, ni vipi unaweza kumpangia Raisi ratiba zake?
Kama sasa hivi kabanwa atakutanaje na nyie? Mbowe ameenda mbali na kumtisha Rais eti ipo siku atatutafuta. Asipokutafuta utamfanya nini?
Walio karibu na mwenyekiti wampumzishe kidogo maana ni Kama Kuna kitu hakipo sawa kwenye medula.
#mamasamia kanyaga twende# kazi iendelee#
View attachment 1813320View attachment 1813322
Hivi CHADEMA ina wanachama wengi kuliko waumini wa dini za zilizoletwa-ukristo na uislam?Wapi ampangia cha kufanya wewe mbwiga?
Mama Samia akutane na Chadema kwa lipi? Mama piga kazi za maendelea achana na majungu ya hao Chadema hawana jipya ndo maana umewatosaLeo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao.
Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta.
Hadi haoaa itoshe kusema chadema ni chama ambacho hakipo makini, ni vipi unaweza kumpangia Raisi ratiba zake?
Kama sasa hivi kabanwa atakutanaje na nyie? Mbowe ameenda mbali na kumtisha Rais eti ipo siku atatutafuta. Asipokutafuta utamfanya nini?
Walio karibu na mwenyekiti wampumzishe kidogo maana ni Kama Kuna kitu hakipo sawa kwenye medula.
#mamasamia kanyaga twende# kazi iendelee#
View attachment 1813320View attachment 1813322
Kikwete anao ushawishi ndani ya utendaji wa Rais Samia, kipindi cha awamu ya nne Mbowe aliutumia sana uwezo wa kidiplomasia wa JK haswa ule uhuru wa kisiasa uliokuwepo.Mbowe is very arrogant, yaani Rais kaapishwa ndani ya wiki anaandika barua wakutane na Rais, who the hell is Mbowe? Yaani mtu hata hajakaa kupanga serikali yake, ww unaandika barua kutaka kukutana nae, mkiambiwa Mbowe Form 6 kapata division 0 kubwa sasa mnaanza kuelewa.. Very very arrogant. Tena ingakuwa mm ndio Mh. Rais, sikutani na mtu mpuuzi hivi, pumbaf kabisa Mbowe
Ile case ya PCCB iliishia wapi vile? Wapuuzi sana nyieMbowe h.ana ubavu wa kumpangia mama Samia Cha kufanya
Ubavu alionao ni kula ruzuku tu za chama bila makamanda kushtuka