Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

Mbowe yupo sahihi maana amekomaa na issue ya 50/50 hakuna la maana anafany

Hii ndio inasemwa ya kwamba ukimhendekeza sana mbwa atakufuata hadi msikitini. JPM alikuwa hapendi ujinga ujinga kama huu!
 
Hakuna mtu ana chuki na Mbowe ila mbowe mwenyewe amefanya siasa ni biashara. Tunajua hii mikutano yake inafadhiliwa na mabeberu. Mwacheni mama Samia achape kazi tukutane 2025
Mabeberu hawa hawa ambao serikali imewaomba hela mwezi uliopita wakawaambia waweke takwimu za covid hadharani kwanza?
 
Mabeberu hawa hawa ambao serikali imewaomba hela mwezi uliopita wakawaambia waweke takwimu za covid hadharani kwanza?
R.I.P Magufuli

Ulikataa lock down kwa watanzania licha ya chadema kukimbia bunge na kwenda kukaa lockdown.
Sasa uchumi umekua.
 
Hivi CDM imekufa? Au waliopambana ife ndio wamekufa ? Mjadala kitaifa kuhusu demokrasia na kuponya majeraha unahitajika sana
 
Kwa kweli nimesikia hotuba yake MBURURA KWELI huwezi mtishia Mh Rais na hizo sissa za maji taka kabisa na Bora Mama aache kabisa kukutana nao...tuone kuachiwa sasa hotuma ni za kukejeri ndio maana wanatakiwa wasubiri uhaguzi....
 
Tutafuta chadema na kubaki na vyama makini vya upinzani kama CUF na NCCR.
Mtaifuta na nani wewe pimbi? Alijaribu dhalim matokeo yake kafa yeye na kuiacha Chadema ikistawi, Sabaya ndiyo huyu anabokolewa na machalii huko Kisongo.
 
Kuna wapumbavu wengi tz huwa mnamchukulia rais kama Mungu mtu, kuna comments humu nazisoma mpaka napata kichefuchefu, nyambaaafu kabisa.
Unajua watu wamejenga kichwani kwamba raisi ni boss wetu,kumbe sisi ndio maboss wake,na kwa ujinga juu ndio maana Mwendazake kila hotuba ilikuwa ni kufoka tu
 
Mtaifuta na nani wewe pimbi? Alijaribu dhalim matokeo yake kafa yeye na kuiacha Chadema ikistawi, Sabaya ndiyo huyu anabokolewa na machalii huko Kisongo.
Mimi na msajili wa vyama vya siasa tutaifuta hiyo saccos yenu wewe pimbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…