Mbowe usimfanye Tundu Lissu kuwa bidhaa

Huu nao Uzi?
Nyie ndio mnaosababisha baadhi ya watawala wadharau wananchi,ulichoandika ni🚮🚮🚮 kiwango cha lami
 
Am sure Lisu anajua anachokifanya, kwa sababu hajawahi kuwa muigizaji. Ni CHADEMA tu hawajamjua. Mbowe ni msanii maisha yake yote ila pamoja usanii wake anaaminiwa sana na mwanachadema.
 
Am sure Lisu anajua anachokifanya, kwa sababu hajawahi kuwa muigizaji. Ni CHADEMA tu hawajamjua. Mbowe ni msanii maisha yake yote ila pamoja usanii wake anaaminiwa sana na mwanachadema.
Ni msanii alikutafuna kisha akasepa bila kukulipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…