Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,936
- 4,947
Kina mama wale Ni matokeo ya pressure ya viongozi wa ACT na mgombea wao wa urais ingawa nao walichelewa sana kuchukua hatua za nguvu na mengi yakatokea.
Dalili za uhuni Lindi zilianza na sababu ni ujakika wa kushindwa vibaya. Sio Siri Lindi na kusini Wana jambo lao Ila CCM wamewawahi .Hii so strategy ya wagombea wa CCM Ni strategy ya chama kwa maeneo magumu.
MOROGORO wameonesha muamko na hii imewatisha sana CCM kwamba MOROGORO ya Leo sio Ile ya kale
Kwahiyo maamuzi ya chama yana baraka za tume, unaona sasa!!