Mbowe wa mwaka 2021 amkana Mbowe wa mwaka 2020 kuhusu lockdown

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu wa juzi (mwaka 2021) anakana anasema hakumaanisha hivyo.

Teknolojia hatari sana

Your browser is not able to display this video.
 
Naona kaja na English ya Breaking the circle of Human interaction nimekuta kijana mmoja ofisi za Chadema anawambia Mwenyekiti wao Mbowe ametoka Ulaya anatema Ngeli balaa.niliomba kimoyomoyo Mungu kwann umeyaruhusu haya John kututoka!!!
 

Naona kaja na English ya Breaking the circle of Human interaction nimekuta kijana mmoja ofisi za Chadema anawambia Mwenyekiti wao Mbowe ametoka Ulaya anatema Ngeli balaa.niliomba kimoyomoyo Mungu kwann umeyaruhusu haya John kututoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…