Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
@Lucas mwashambwaBado kuna mijinga inaisifia ccm kila siku humu ndani, dunia hii ina maajabu sana!
Nifanye nini kwako ephen ujuwe kwamba kweli nakuombea mema matupu?Asante kama kweli unaniombea!
Wewe ni dhehebu gani
Usifanye kitu mkuu!Nifanye nini kwako ephen ujuwe kwamba kweli nakuombea mema matupu?
Nashukuru na uwe na imani hiyo.Usifanye kitu mkuu!
Umesema huwa unaniombea mimi nimeamini.
Kwa hili sikupingi kabisa, malalamiko kwetu sisi huwa ni mengi endapo utakuwa nje ya mfumo.Mbowe kaongea kitu sahihi ila kinafiki sana kwasababu inamuuma kuwa nje ya bunge. Ninatumaini uchaguzi 2025 utakuwa huru na wa haki ili nao waingie bungeni kutafuna keko ya nchi. Wabunge huwa kitu kimoja bila kujali vyama linapokuja suala la maslahi yao.
UsijaliNashukuru na uwe na imani hiyo.
Kwahiyo hamtagombea ubunge kupinga Hilo ongezeko la mishahara?CCM ni chama cha kinyama sana !
🙏🙏Usijali
Sana aiseeCCM ni chama cha kinyama sana !
Wana moyo mbaya sanaKwa kazi gani hasa wanayoifanya huko Bungeni hawa fisi na nguruwe wasioshiba! wala kutosheka!!
Kwanza hiyo sio nyongeza bali ni hongoAliyewaongezea mishahara ni Rais hawana mamlaka ya kujiongezea mishahara hapa wa kumpa lawama ni Rais
Mapambio watapiga kina nani sasa?Bunge can be effective hata wakiwa jusu ya idadi yao y leo
Wabunge 150 can do the job vizuri sana
Kwani ukiwa chawa kuna ulazima wa kujipoteza akili? Taifa limeshidwa kuajiri wataalam wa sector mbalimbali ikiwemo walimu na madaktari ambao hawatoshelezi kwa ukosefu wa fedha, unashadadia wabunge kujilipa kiasi hicho cha fedha?Nakumbuka what’s wao walijiongezea posho
Wakiwa nje wanauona San mchezo
Wakiwa ndani… watakwambia kwa ground iz ze difflenti
Wewe ambae sio chawa ndio ufanye kitu Sasa tuone , vinginevyo utakuwa mpumbavu tuu kama hao wengine
Wewe ambae sio chawa ndio ufanye kitu Sasa tuone , vinginevyo utakuwa mpumbavu tuu kama hao wengine