Ila wandugu, hili swala la Mishahara ya hawa wapiga makofi na shukrani zilizopitiliza kwa Dr. Linapaswa litengewe muda wa mjadala..wenzetu wanakula keki eti. Sisi tutaishia kula na.sisimizi vile vipande vinavyoanguka chini. Kama pande lipo basi na wengine waongezewe. Kama kitu ilikuwa 13m na Sasa ni 18m, hilo ni ongezeko kubwa sana..