Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Mbowe na genge lake wakiingia madarakani wataufuta hizi sheria?🤣🤣🤣🤣🤣🤣CCM ni chama cha kinyama sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe na genge lake wakiingia madarakani wataufuta hizi sheria?🤣🤣🤣🤣🤣🤣CCM ni chama cha kinyama sana !
Huyu aliyezusha mshahara wa wabunge?Walisema hata walivyokua ndani,vuta kumbukumbu.Kwa mtu km Mbowe siasa ni utumishi labda km humfahamu vizuri
👍👌👏👊🤝🙏🛡️Manufaa ya tozo. Hapo lazima fisi wa CCM waliojazana bungeni wasifie tozo za Samia na Mwigulu maana faida yake wanaiona.
Kwa tozo tu za sasa wamepanda mpaka Tsh 26m kwa mwezi (mshahara 18m + posho 8m). Samia akiongeza tozo nyingine, watapanda mpaka angalaoTsh 35m kwa mwezi. Hawa lazima waombe Samia awe Rais wa maisha.
Hii ndiyo maana iliyokusudiwa na Samia kuwa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.
Mkuu alaumiwe serikali kwa maadhila ya mwananchi, sio Mbunge!Nchi hii wananchi wa kawaida wanazidi kuishi maisha duni huku viongozi wakineemeka. Imagine mbunge ana wananchi anaowawakilisha hawana uhakika wa kula milo mitatu kwa siku na kupata matibabu ya uhakika lakini mwakilishi anachukua 26m kwa mwezi, hapo hujaweka fedha ya jimbo na posho nyingine kama za kamati za kudumu za bunge.
Mwalimu na watumishi wengine wa umma wanaishi kwa mikopo na vikoba vinavyoitwa kausha damu. Mwalimu akistaafu anapokea kiinua mgongo kiduchu ambacho nacho serikali imeamua ikipunguze ili kuendelea kumdidimiza.
Ukitafakari haya mambo na mengine kama ya DP World na masafari yasiyokuwa na tija ya viongozi unatamani hii nchi iangamizwe tuondoke wote.
NB: Naomba huu uzi uwafikie viongozi wa juu kabisa waone mawazo na fikra zetu wananchi.
📝🆒🔊👍👌👏👊🤝🙏💐🗼🛡️Swali la kijinga.
Hivi hata ukiwa ni wewe umeingia bungeni, ukakuta mshahara ni huo, utaacha kuupokea? Na ukiuacha itasaidia nini?
Lakini ukiingia huko, ukakuta mshahara ni huo, na ukaona kwa kuzingatia uhalisia wa nchi, siyo halali. Ukautangazia umma kwa uwazi, tayari umetimiza wajibu wako. Wanaotakiwa kuchukua hatua ni wenye pesa yao, ambao ni wananchi. Kama wao wanaona ni halali mbunge achukue 26m kwa mwezi na Rais 50m kwa mwezi, basi hakuna wakubadilisha.
Sijawahi na sina mpango wa kuja kupiga kuraVp utapiga kura 😄
Ova
Kwa mahesabu hayo si bilioni na ushee au?18 x 12 x 5= aisee😳😳
1 080 000 000 bsh.Kwa mahesabu hayo si bilioni na ushee au?
Mimi mwenyewe namshukuru Mh Rais kwa kuniwezesha kupata hela ya Bando na sasa nakomentiHabari za Mchana wanajamvi
Kwanza nianze kumshukuru Dr Samiah Suluhu Hassan kwa kuniwezesha kuanzisha thread,yeye ndiyo karuhusu JF iwepo angeamua isingekuwepo.
Mbili jamani Mwanadamu ni Selfish by Nature hivi inakuwaje Mbunge unajilipa Mil 18 na Maposhoposho juu huku Mwalimu analipwa Laki nne?Huku ndiyo kuongoza kwa Mfano?
Nashauri kama ambavyo Katiba Mpya inahitaji Bunge Maalumu huru lisilo na Mgongano wa Maslahi hili la Mishahara na Posho pia linahitaji Bodi Maalum huru isiyo na Mgongano wa Maslahi.
Suala la Mishahara ni usalama wa nchi msije mkasema sikuwaambia.
Nimekaa paleee.
Upo vyema kichwani kweli wewe?Kwanza nianze kumshukuru Dr Samiah Suluhu Hassan kwa kuniwezesha kuanzisha thread,yeye ndiyo karuhusu JF iwepo angeamua isingekuwepo.
Nlishajiondoa muda..nliona ni kusumbuana tu.Wabunge wanalipwa pesa nyingi hawachangii vyama vya wafanyakazi .
Nyie kajamba 8 mnachangia vyama vya wafanyakazi mwishoe mnapewa t-shirt za form six kama watangazaji wa supersport...Kuweni makini hivyo vyama ni utapeli kama SACCOS watu wajanja wanapata mishahara mara mbili.
Kazi yao kubwa kupresent lisaa siku ya May mosi ila wanazoa pesa kibao ,narudia vyama vyenu haviwezi kuwakomboa ni mradi wa upigaji.