Ndo maanake, ameshapokea mgao wake na yeye.Anatuandaa kuhusu Covid 19 ama!
Ndio maana yake!Anatuandaa kuhusu Covid 19 ama!
Mbowe ni CCM!Sometime mbowe huwa simuelewagi ni mpinzani wa aina Gani?
Anatuandaa kuhusu Covid 19 ama!
Sometime mbowe huwa simuelewagi ni mpinzani wa aina Gani?
Kisheria huruhusiwi kumkataa yeyote atayetaka kujiunga na chama chochote akitakacho, mkikosea kwenye hilo chama kinaweza kufutiwa usajili.ndo maanake, ameshapokea mgao wake na yeye.
Mbowe si mtu ya kawaida inajua kucheza na akili ya CHADEMA, CCM, na serikali kwa ujumla wake. Tazama isema Lowasa ni fisadi na jinsi ilivyomkaribisha kuwa mgombea wa UKAWA ndio tunapata kuelewa Mbowe anacholeka hasa ni niniSometime mbowe huwa simuelewagi ni mpinzani wa aina Gani?
Forgiving does not mean compromising!!! Hata ukitenda dhambi you will be forgiven if you ask forgiveness but the consequences of sin are still there. For example ukiiba ukakamatwa utaenda jela hata ukimwomba Mungu msamaha. Atakusamehe lakini jela utaenda tu.To err is human, to forgive is divine.
Maelezo mazuri, na moja ya consequence ya wale Covid ni kuvuliwa nafasi za uongozi walizokuwa nazo, na kutopewa nafasi ya kuongoza chama mbele ya safari.Forgiving does not mean compromising!!! Hata ukitenda dhambi you will be forgiven if you ask forgiveness but the consequences of sin are still there. For example ukiiba ukakamatwa utaenda jela hata ukimwomba Mungu msamaha. Atakusamehe lakini jela utaenda tu.
Kugombea ni haki yao pia..Sawa warudi ni haki yao kiatiba, lakini wasipewe ridhaa ya kugombea nafasi yoyote kwenye chama kwasababu walishaonesha wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya chama, hawaaminiki tena, na huo msamaha ni vyema uwe public.
Kabisa. Ameanzia mbaaali. Itakuwa kanusa the fate of covid-19.Anatuandaa kuhusu Covid 19 ama!
Wale si mmewafukuza au mnataka kuwarudisha!!!Maelezo mazuri, na moja ya consequence ya wale Covid ni kuvuliwa nafasi za uongozi walizokuwa nazo, na kutopewa nafasi ya kuongoza chama mbele ya safari.
AmenTo err is human, to forgive is divine.