Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa kulikuwa na changamoto za hapa na pale.
Amesema maridhiano yamesaidia:

- Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamekimbia nchi waliruhusiwa kurudi na sasa wanaishi nchini bila hoofu
- Kuachiwa huru kwa mamia ya watu waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa. Kupitia maridhiano hayo yalikuwa na faida
- Kuondoa katazo la mikutano ya hadhara na maandamano
- Pre GE2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura
- Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini