Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ambae hataki maridhiano na anayapinga bila kushukuru na kutambua kwamba ndiyo yaliyomuwezesha kua na imani na amani mpaka akarejea nchini baada ya kutorokea huko kwa mabwenyenye yanayombackup, ni Kibaraka Mkuu Pekee 🐒Wakuu,
Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa kulikuwa na changamoto za hapa na pale.
Amesema maridhiano yamesaidia:
Mbowe anasema waliosema maridhiano yalikuwa hayafai walikosea sana, kwani waliwapa maadui sehemu ya kuwapigia, lakini ukweli ni kwamba maridhiano hayaepukiki kwenye mazingira ya kisiasa. Amewaquote na viongozi kiabaooooo kukazia point yake kuwa maridhiano hayaepukiki, ni muhimu sana kwenye siasa.
- Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamekimbia nchi waliruhusiwa kurudi na sasa wanaishi nchini bila hoofu
- Kuachiwa huru kwa mamia ya watu waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa. Kupitia maridhiano hayo yalikuwa na faida
- Kuondoa katazo la mikutano ya hadhara na maandamano
Anasahau haraka mno ndio sababu anarekodiwa Kila sentence Leo na TBCYeye mwenyenyewe si amewahi kuja public na kusema kuwa maridhaiano yalikuwa chaka?
Hayakuwa na faida zaidi hasara,ndio kiini na sababu ya kuendelea uenguaji wa kishamba.Wakuu,
Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa kulikuwa na changamoto za hapa na pale.
Amesema maridhiano yamesaidia:
Mbowe anasema waliosema maridhiano yalikuwa hayafai walikosea sana, kwani waliwapa maadui sehemu ya kuwapigia, lakini ukweli ni kwamba maridhiano hayaepukiki kwenye mazingira ya kisiasa. Amewaquote na viongozi kiabaooooo kukazia point yake kuwa maridhiano hayaepukiki, ni muhimu sana kwenye siasa.
- Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamekimbia nchi waliruhusiwa kurudi na sasa wanaishi nchini bila hoofu
- Kuachiwa huru kwa mamia ya watu waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa. Kupitia maridhiano hayo yalikuwa na faida
- Kuondoa katazo la mikutano ya hadhara na maandamano
View attachment 3181641
Anaowaongoza hawajamzidi kwa chochote.We ni mwehu, huwezi kumzidi mbowe kwa lolote lile.
Akili,busara,utulivu, kifedha,kiuongozi na kwa namna yoyote ile
Maridhiano yapo kila sehemu SI jambo la kushangaza.Vita ya wenyewe kwa wenye Kuna maridhianoWakuu,
Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa kulikuwa na changamoto za hapa na pale.
Amesema maridhiano yamesaidia:
Mbowe anasema waliosema maridhiano yalikuwa hayafai walikosea sana, kwani waliwapa maadui sehemu ya kuwapigia, lakini ukweli ni kwamba maridhiano hayaepukiki kwenye mazingira ya kisiasa. Amewaquote na viongozi kiabaooooo kukazia point yake kuwa maridhiano hayaepukiki, ni muhimu sana kwenye siasa.
- Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamekimbia nchi waliruhusiwa kurudi na sasa wanaishi nchini bila hoofu
- Kuachiwa huru kwa mamia ya watu waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa. Kupitia maridhiano hayo yalikuwa na faida
- Kuondoa katazo la mikutano ya hadhara na maandamano
View attachment 3181641
Amesema maridhiano yamesaidia:
- Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamekimbia nchi waliruhusiwa kurudi na sasa wanaishi nchini bila hoofu
- Kuachiwa huru kwa mamia ya watu waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa. Kupitia maridhiano hayo yalikuwa na faida
- Kuondoa katazo la mikutano ya hadhara na maandamano
Dr. Slaa amekiri kuwa yeye ndiye aliyesimamia uundwaji wa sheria ya kutokuwapo ukomo wa mgombea uenyekiti wa chama. Sasa ni wapi Mbowe amekosea? Udikteta wake uko wapi? Pengine watu hamuelewi maana ya demokrasia. Kumzuia mtu anayefuata katiba, huo ndio uvunjaji wa demokrasia. Kuwazuia watu wasichague au wasichaguliwe wakati katiba inaruhusu, huo ndio uvunjaji wa demokrasia. Demokrasia ni kuruhusu sauti za watu zisikike kwa kufuata utaratibu rasmi kama katiba. Iwapo kuna sheria inaonekana kuwa na ukakasi, watu hao hao walioitunga, waibadilishe kwanza, sio waitunge halafu wazuie isitumike wakati ikiwa hai, ni ajabu!Freeman Omar Bongo Mbowe.
Huyo jamaa haachii nafasi ya uenyekiti mpaka afie madarakani na akitoka hapo anamrithisha chama mwanawe James Mbowe.
Lissu ajitoe aunde chama chake. CHADEMA ni chama cha kisiasa chenye muundo wa kifalme
Chadema huwa wanatekana @ Dr SlaaKama yalikuwa na faida kwanini watu bado wanatekwa na kupotea