Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa kulikuwa na changamoto za hapa na pale.
Amesema maridhiano yamesaidia:
Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamekimbia nchi waliruhusiwa kurudi na sasa wanaishi nchini bila hoofu
Kuachiwa huru kwa mamia ya watu waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa. Kupitia maridhiano hayo yalikuwa na faida
Kuondoa katazo la mikutano ya hadhara na maandamano
Mbowe anasema waliosema maridhiano yalikuwa hayafai walikosea sana, kwani waliwapa maadui sehemu ya kuwapigia, lakini ukweli ni kwamba maridhiano hayaepukiki kwenye mazingira ya kisiasa. Amewaquote na viongozi kiabaooooo kukazia point yake kuwa maridhiano hayaepukiki, ni muhimu sana kwenye siasa.
Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa kulikuwa na changamoto za hapa na pale.
Amesema maridhiano yamesaidia:
Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamekimbia nchi waliruhusiwa kurudi na sasa wanaishi nchini bila hoofu
Kuachiwa huru kwa mamia ya watu waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa. Kupitia maridhiano hayo yalikuwa na faida
Kuondoa katazo la mikutano ya hadhara na maandamano
Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa kulikuwa na changamoto za hapa na pale.
Amesema maridhiano yamesaidia:
Viongozi wa CHADEMA waliokuwa wamekimbia nchi waliruhusiwa kurudi na sasa wanaishi nchini bila hoofu
Kuachiwa huru kwa mamia ya watu waliokuwa wamebambikiwa kesi za kisiasa. Kupitia maridhiano hayo yalikuwa na faida
Kuondoa katazo la mikutano ya hadhara na maandamano
Mbowe anasema waliosema maridhiano yalikuwa hayafai walikosea sana, kwani waliwapa maadui sehemu ya kuwapigia, lakini ukweli ni kwamba maridhiano hayaepukiki kwenye mazingira ya kisiasa.
Kwamba Lissu ambaye karejea nchini,anaishi bila hofu,ilhali anavaa hadi bullet proof?
Hajui Soka na wenzake hawaonekani kwasababu za kisiasa?
Hajui George Sanga bado yuko ndani kwa kesi zenye mlengo wa kisiasa?
Hajui mzee Ally Kibao hatunae?
Mbowe apishe tu,Lissu aingie na Heche ashawishiwe agombee umakamu,nchi ichangamke,masna kati yao hao wako radhi wauawe ila wabaki kwenye misimamo yao.Nchi itachangamka sana.CCM walikua wanataka Mbowe atoke,saa hizi wanataka abaki,baada ya kuona mbadala wake ni HATARI zaidi.