Pre GE2025 Mbowe: Wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ambae hataki maridhiano na anayapinga bila kushukuru na kutambua kwamba ndiyo yaliyomuwezesha kua na imani na amani mpaka akarejea nchini baada ya kutorokea huko kwa mabwenyenye yanayombackup, ni Kibaraka Mkuu Pekee 🐒
 
Kwa hiki kinachoendelea mbowe ndio Dalali wa kuwauza wenzake yeye mwenyew aliyaponda maridhiano Leo anayasifia siasa mbaya sana
 
Hayakuwa na faida zaidi hasara,ndio kiini na sababu ya kuendelea uenguaji wa kishamba.
 
We ni mwehu, huwezi kumzidi mbowe kwa lolote lile.
Akili,busara,utulivu, kifedha,kiuongozi na kwa namna yoyote ile
Anaowaongoza hawajamzidi kwa chochote.
Hii hoja yako mfu usije kujaribu kuitoa tena, hata raisi wako Samia wapiga kura wake wakiwemo baadhi ya mawaziri wake aliowachagua mwenyewe hawajamzidi kwa chochote.
 
Maridhiano yapo kila sehemu SI jambo la kushangaza.Vita ya wenyewe kwa wenye Kuna maridhiano
 
Freeman Omar Bongo Mbowe.

Huyo jamaa haachii nafasi ya uenyekiti mpaka afie madarakani na akitoka hapo anamrithisha chama mwanawe James Mbowe.

Lissu ajitoe aunde chama chake. CHADEMA ni chama cha kisiasa chenye muundo wa kifalme
 

Katika hayo matatu, lipi si la kweli?
 
Freeman Omar Bongo Mbowe.

Huyo jamaa haachii nafasi ya uenyekiti mpaka afie madarakani na akitoka hapo anamrithisha chama mwanawe James Mbowe.

Lissu ajitoe aunde chama chake. CHADEMA ni chama cha kisiasa chenye muundo wa kifalme
Dr. Slaa amekiri kuwa yeye ndiye aliyesimamia uundwaji wa sheria ya kutokuwapo ukomo wa mgombea uenyekiti wa chama. Sasa ni wapi Mbowe amekosea? Udikteta wake uko wapi? Pengine watu hamuelewi maana ya demokrasia. Kumzuia mtu anayefuata katiba, huo ndio uvunjaji wa demokrasia. Kuwazuia watu wasichague au wasichaguliwe wakati katiba inaruhusu, huo ndio uvunjaji wa demokrasia. Demokrasia ni kuruhusu sauti za watu zisikike kwa kufuata utaratibu rasmi kama katiba. Iwapo kuna sheria inaonekana kuwa na ukakasi, watu hao hao walioitunga, waibadilishe kwanza, sio waitunge halafu wazuie isitumike wakati ikiwa hai, ni ajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…