Kwan wana impact yoyote hata wasiporudishwa??Mgogoro wa chadema na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema.
Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake.
Hii itaifanya CCM itetemeke na chadema iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye na wengine kwanini cdm ishindwe kutafuta muafaka na wasichana wao makamanda.
Nijuavyo mimi akina Halima walitumbukia kwenye mtego wa kimasilahi tu na vitisho baaasi.
MKUU UPO SAHIHI HUO ULIKUWA MTEGO wenye AKILI TUMEUGUNDUA CHADEMA warudishe KUNDINI HALIMA na WENZAKEMgogoro wa chadema na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema.
Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake.
Hii itaifanya CCM itetemeke na chadema iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye na wengine kwanini cdm ishindwe kutafuta muafaka na wasichana wao makamanda.
Nijuavyo mimi akina Halima walitumbukia kwenye mtego wa kimasilahi tu na vitisho baaasi.
Hao akina Mdee hapana. Uliona wapi mwanamke akadidisha mbele ya mwanaume?Mgogoro wa chadema na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema.
Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake.
Hii itaifanya CCM itetemeke na chadema iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye na wengine kwanini cdm ishindwe kutafuta muafaka na wasichana wao makamanda.
Nijuavyo mimi akina Halima walitumbukia kwenye mtego wa kimasilahi tu na vitisho baaasi.
Watutake radhi tu kwani CHADEMA ni kubwa kuliko mwanachama mmoja mmoja.Mgogoro wa chadema na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema.
Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake.
Hii itaifanya CCM itetemeke na chadema iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye na wengine kwanini cdm ishindwe kutafuta muafaka na wasichana wao makamanda.
Nijuavyo mimi akina Halima walitumbukia kwenye mtego wa kimasilahi tu na vitisho baaasi.
Mbona hawakukiri hayo walipohojiwa kikaoni?Mgogoro wa chadema na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema.
Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake.
Hii itaifanya CCM itetemeke na chadema iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye na wengine kwanini cdm ishindwe kutafuta muafaka na wasichana wao makamanda.
Nijuavyo mimi akina Halima walitumbukia kwenye mtego wa kimasilahi tu na vitisho baaasi.
Umeandika vema kabisa. Lakini sasa huyu utamwamini kumpa nafasi kwenye kundi lako? Umemkuta amelala na mwanamume kitandani kwako, unafanyaje? (inaweza mfano huu umekwenda juu sana).Nijuavyo mimi akina Halima walitumbukia kwenye mtego wa kimasilahi tu na vitisho baaasi.
How? Nipe facts tafadhaliweee!!! hao ni wapambanaji kumshinda hata Mnyika.
kasamehewa wapi ?Kama Dr Slaa kasanehewa kwanini Halima asisamehewe ?
Warudishweje kwa mfano?Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema.
Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake.
Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye na wengine kwanini ishindwe kutafuta muafaka na wasichana wao makamanda.