Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Weye huwa ni kuunga mkono tu hoja hata miujinga?Hatari!Naunga mkono hoja
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weye huwa ni kuunga mkono tu hoja hata miujinga?Hatari!Naunga mkono hoja
P
Weye huwa ni kajinga kengine!Tupo kwa pembeni tuna wasolola!
Upuuzi huu ulioandika ndiyo unafanya CCM ionekane Chama Cha Majuha.Ndugu zangu watanzania,
Baada ya matarajio ya Chadema kuwa tofauti na kupokelewa tofauti na watanzania na kupuuzwa na watanzania katika harakati zao kutokana na kukosa hoja na Sera za kuwashawishi na kugusa maisha Yao wameanza kuwatupia watanzania lugha za udhalilishaji kwa kusema watanzania Ni waoga na wavivu.
Chadema wameanza mikutano Yao kwa porojo pasipo Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa maisha ya watanzania na kufikiri kuwa ndio Mahitaji ya watanzania na kupelekea kukosa uungwaji mkono, kutokana na kukuta kazi kubwa imefanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani.
Shida ya watanzania siyo katiba mpya na Wala ukija vijijini kwetu huku Hakuna anayelia Wala kuwa na mahitaji ya katiba na Wala hawana habari na katiba na Wala haiwagusi katika suala la mbolea ,Bei za mazao yao Wala Elimu au Afya au Miundombinu au ajira kwa vijana vitu ambavyo Rais Samia amevigusa na kuvipatia majibu yaliyoleta Tabasamu mioyoni mwao na kuinua matumaini kwao.
Jiulize wewe unayesoma hapa kuwa Ni lini mama yako au Bibi yako kule kijijini alikuomba umtumie katiba? Lini alikuomba umtumie na kumsaidia kuipata rasimu ya warioba?
Hayo siyo Mahitaji ya watanzania ndugu zangu,Mahitaji ya watanzania Ni Yale ayafanyayo Rais Samia na serikali yake Kama vile kuwapatia watanzania maji Safi na salama,Elimu bure na Bora,ajira na mikopo ya Elimu ya juu kwa vijana,mbolea za Ruzuku,huduma Bora za Afya,uwepo wa madawa mahospitalini,vitendea kazi na wataalamu wa Afya,mazingira mazuri ya biashara,maslahi Bora na mazingira mazuri kwa watumishi wa umma,kutendeka kwa haki kwa kila mwenye kuhitaji haki,Usawa katika utolewaji wa huduma na mgao wa keki ya Taifa.
Sasa baada ya kuwa Rais Samia amekata kiu ya watanzania kwa kuwapatia wanachohitaji na kupata uungwaji mkono iliyopelekea watanzania kuwatupilia mbali wapinzani, imepelekea chadema wachanganyikiwe na kuanza kuwatukana watanzania bila sababu za msingi,Nasema na bado maana Moto wa mama Samia utachoma kila kichaka na kuteketeza vyama vyote vya kibabaishaji vilivyokuwa Kama miradi ya watu kujipatia Ruzuku,vinakwenda kusambaratika muda siyo mrefu.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Toa njozi za mchana wewe. Chadema hii au nyingine ya kina lissu?Wewe kama hujui kwamba watanzania wako tayari kwa mageuzi ya siasa wambie CCM waweke uchanguzi huru na tume huru hata 20% CCM haipati. Wa Tanzania walisha choka sema tu hawana maalifa na mbinu ya kuwatoa hapo walipo.
Ndugu zangu watanzania,
Baada ya matarajio ya Chadema kuwa tofauti na kupokelewa tofauti na watanzania na kupuuzwa na watanzania katika harakati zao kutokana na kukosa hoja na Sera za kuwashawishi na kugusa maisha Yao wameanza kuwatupia watanzania lugha za udhalilishaji kwa kusema watanzania Ni waoga na wavivu.
Chadema wameanza mikutano Yao kwa porojo pasipo Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa maisha ya watanzania na kufikiri kuwa ndio Mahitaji ya watanzania na kupelekea kukosa uungwaji mkono, kutokana na kukuta kazi kubwa imefanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani.
Shida ya watanzania siyo katiba mpya na Wala ukija vijijini kwetu huku Hakuna anayelia Wala kuwa na mahitaji ya katiba na Wala hawana habari na katiba na Wala haiwagusi katika suala la mbolea ,Bei za mazao yao Wala Elimu au Afya au Miundombinu au ajira kwa vijana vitu ambavyo Rais Samia amevigusa na kuvipatia majibu yaliyoleta Tabasamu mioyoni mwao na kuinua matumaini kwao.
Jiulize wewe unayesoma hapa kuwa Ni lini mama yako au Bibi yako kule kijijini alikuomba umtumie katiba? Lini alikuomba umtumie na kumsaidia kuipata rasimu ya warioba?
Hayo siyo Mahitaji ya watanzania ndugu zangu,Mahitaji ya watanzania Ni Yale ayafanyayo Rais Samia na serikali yake Kama vile kuwapatia watanzania maji Safi na salama,Elimu bure na Bora,ajira na mikopo ya Elimu ya juu kwa vijana,mbolea za Ruzuku,huduma Bora za Afya,uwepo wa madawa mahospitalini,vitendea kazi na wataalamu wa Afya,mazingira mazuri ya biashara,maslahi Bora na mazingira mazuri kwa watumishi wa umma,kutendeka kwa haki kwa kila mwenye kuhitaji haki,Usawa katika utolewaji wa huduma na mgao wa keki ya Taifa.
Sasa baada ya kuwa Rais Samia amekata kiu ya watanzania kwa kuwapatia wanachohitaji na kupata uungwaji mkono iliyopelekea watanzania kuwatupilia mbali wapinzani, imepelekea chadema wachanganyikiwe na kuanza kuwatukana watanzania bila sababu za msingi,Nasema na bado maana Moto wa mama Samia utachoma kila kichaka na kuteketeza vyama vyote vya kibabaishaji vilivyokuwa Kama miradi ya watu kujipatia Ruzuku,vinakwenda kusambaratika muda siyo mrefu.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
This is Complete rubbish. Absolutely rubbish!!!!Ndugu zangu watanzania,

Pole kwa kukosa u-DC naona ilibidi upotee kwa muda kidogoLucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Malaya was kisiasaNamba za simu za nn? [emoji23][emoji23][emoji23]
CHADEMA ni matusi centreBwashee kwani wameanza kututukana leo? Walianza tangu 2016 baada hoja zao nyingi kufanyiwa kazi na JPM wakaishiwa hoja na kuanza matusi.
Anafikiria anaweza kuteka akili ya Rais kwa hoja za kipuuzi kama hizi. Mtu mwenye upeo duni kama huyu, Rais ampeleke wapi?Namba za simu za nn? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hopeless argument from low a mind.Ndugu zangu watanzania,
Baada ya matarajio ya Chadema kuwa tofauti na kupokelewa tofauti na watanzania na kupuuzwa na watanzania katika harakati zao kutokana na kukosa hoja na Sera za kuwashawishi na kugusa maisha Yao wameanza kuwatupia watanzania lugha za udhalilishaji kwa kusema watanzania Ni waoga na wavivu.
Chadema wameanza mikutano Yao kwa porojo pasipo Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa maisha ya watanzania na kufikiri kuwa ndio Mahitaji ya watanzania na kupelekea kukosa uungwaji mkono, kutokana na kukuta kazi kubwa imefanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani.
Shida ya watanzania siyo katiba mpya na Wala ukija vijijini kwetu huku Hakuna anayelia Wala kuwa na mahitaji ya katiba na Wala hawana habari na katiba na Wala haiwagusi katika suala la mbolea ,Bei za mazao yao Wala Elimu au Afya au Miundombinu au ajira kwa vijana vitu ambavyo Rais Samia amevigusa na kuvipatia majibu yaliyoleta Tabasamu mioyoni mwao na kuinua matumaini kwao.
Jiulize wewe unayesoma hapa kuwa Ni lini mama yako au Bibi yako kule kijijini alikuomba umtumie katiba? Lini alikuomba umtumie na kumsaidia kuipata rasimu ya warioba?
Hayo siyo Mahitaji ya watanzania ndugu zangu,Mahitaji ya watanzania Ni Yale ayafanyayo Rais Samia na serikali yake Kama vile kuwapatia watanzania maji Safi na salama,Elimu bure na Bora,ajira na mikopo ya Elimu ya juu kwa vijana,mbolea za Ruzuku,huduma Bora za Afya,uwepo wa madawa mahospitalini,vitendea kazi na wataalamu wa Afya,mazingira mazuri ya biashara,maslahi Bora na mazingira mazuri kwa watumishi wa umma,kutendeka kwa haki kwa kila mwenye kuhitaji haki,Usawa katika utolewaji wa huduma na mgao wa keki ya Taifa.
Sasa baada ya kuwa Rais Samia amekata kiu ya watanzania kwa kuwapatia wanachohitaji na kupata uungwaji mkono iliyopelekea watanzania kuwatupilia mbali wapinzani, imepelekea chadema wachanganyikiwe na kuanza kuwatukana watanzania bila sababu za msingi,Nasema na bado maana Moto wa mama Samia utachoma kila kichaka na kuteketeza vyama vyote vya kibabaishaji vilivyokuwa Kama miradi ya watu kujipatia Ruzuku,vinakwenda kusambaratika muda siyo mrefu.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Aseme wanachadema ni wavivu sio watanzania. Yeye ni kiongozi wa wana chadema si kiongozi wa watanzania wote.Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe
Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema
Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa Walalamikaji wa kudumu, amesisitiza Mbowe katika mkutano wa hadhara Temeke
Hilo kweli na cha ajabu hata hao watu wake wa Chadema kashindwa kuwafanya kuwa mfano mzuri kwa watanzania wengine wote.Aseme wanachadema ni wavivu sio watanzania. Yeye ni kiongozi wa wana chadema si kiongozi wa watanzania wote.
Aliyekwambia biashara za Mh Freeman Mbowe haziendelei ni nani?Mbowe endelea na biashara zako. Tanzania ipo salama chini ya Samia Suluhu, mwenyewe umekiri hili mara kadhaa
Katiba ya wananchi itapatikana kupitia popular movement ya wananchi na sio vikao vya Ikulu