Mbowe: Watanzania ni Wavivu na Waoga. Wanataka kila kitu afanye Tundu Lissu au Mbowe, hatutafika kwa utaratibu huu!

Upuuzi huu ulioandika ndiyo unafanya CCM ionekane Chama Cha Majuha.
 
Wewe kama hujui kwamba watanzania wako tayari kwa mageuzi ya siasa wambie CCM waweke uchanguzi huru na tume huru hata 20% CCM haipati. Wa Tanzania walisha choka sema tu hawana maalifa na mbinu ya kuwatoa hapo walipo.
Toa njozi za mchana wewe. Chadema hii au nyingine ya kina lissu?
Chadema ndio ikipata 20% ni bahati.
 
 
This is Complete rubbish. Absolutely rubbish!!!!
 
Bwashee kwani wameanza kututukana leo? Walianza tangu 2016 baada hoja zao nyingi kufanyiwa kazi na JPM wakaishiwa hoja na kuanza matusi.
 
Mwashambwa acha kujishusha sana na akili zako za kufikiria serikali kuwaletea maji na elimu bure ndio kitu CCM wanachotaka ili waendelee kuwaibia na kuwafanya maskini na wajinga na vizazi vyenu vyote vijavyo, hayo mambo watu wanaweza kufanya wenyewe bila serikali, angalia mfano wa shule binafsi zilivyopiga shule za serikali labda utapata jibu, watu wanataka haki za kimsingi zinazokufanya kuwa binadamu kamili kwenye nchi yako, uhakika ukipiga kura inahesabiwa, uhakika kesi kama una kesi unasikilizwa kwa utaratibu unaoeleweka na kufuatwa bila vimemo vya wanasiasa, uhakika ukilala hakuna ofisa wa seriakli au polisi anaweza kuja kukugongea mlango usiku bila utaratibu unaoeleweka na familia yako isikuone tena, ukilima mazao yako au ukifanya biashara hakuna mtu anakuja kukuwekea tozo au kukuambia pa kuuza , kufanikiwa katika nchi yako sio lazima uwe chawa, hayo maji na shule ni vitu vidogo sana watu wanaweza kujifanyia wenyewe hawahitaji serikali
 
Unataka upiguwe kura uingie ikulu ule pesa na ndugu zako pamoja na familia yako.

Ila kupiga kelele pekeako hutaki?

Huko kupiga kelele ndo kazi yenu Kaeni kimya tujue kwamba chama hakipo na ruzuku msipokee.
 
Hopeless argument from low a mind.

Eti ni lini baba yako kijijini alikuomba umtumie katiba!! Tuna watu wana njaa ya fikra na hoja. Halafu cha ajabu unaweza kuona huyu naye amemaliza secondary. Mawazo yake yanazidiwa na hata mtu aliyeishia darasa la saba.

Kwa fikra zake, kwa sababu baba yake huko kijijini hakuwahi kumwomba ampelekee kitabu cha hesabu, basi hakuna hitaji la elimu. Kwa sababy baba yake hakuwahi kumwambia ampelekee treni, basi reli na treni siyo muhimu.

Kwa fikra hizi, ataweka namba za simu mpaka mtaa anaoishi, lakini kwa vile Rais Samia ni mwelewa, na hadanganywi na hoja za unafiki, kamwe hawezi kumweka popote katika Serikali yake.

Uzuri ni kwamba, Marais wote waliokuwa timamu kwa fikra na maadili ya uongozi wanafahamu katiba yetu ni mbaya, na hakuna aliyewahi kukataa umuhimu wa katiba mpya:

Katiba hii inamfanya Rais awe dikteta, ni katiba mbaya -- BABA WA TAIFA

Malalamiko na mahitaji ya katiba mpya ni ya mua mrefu, nimeteua Tume ya katiba ili itupe mwongozo namna ya kupata katiba mpya. --- RAIS KIKWETE

Kuna mambo hayapo sawa kwenye katiba yetu. Hatuna Tume huru ya uchaguzi --- MKAPA KWENYE KITABU CHAKE

Turekebishe kwanza uchumi, halafu twende kwenye katiba --- RAIS SAMIA.
 
Aseme wanachadema ni wavivu sio watanzania. Yeye ni kiongozi wa wana chadema si kiongozi wa watanzania wote.
 
Aseme wanachadema ni wavivu sio watanzania. Yeye ni kiongozi wa wana chadema si kiongozi wa watanzania wote.
Hilo kweli na cha ajabu hata hao watu wake wa Chadema kashindwa kuwafanya kuwa mfano mzuri kwa watanzania wengine wote.
 
Mbowe endelea na biashara zako. Tanzania ipo salama chini ya Samia Suluhu, mwenyewe umekiri hili mara kadhaa

Katiba ya wananchi itapatikana kupitia popular movement ya wananchi na sio vikao vya Ikulu
Aliyekwambia biashara za Mh Freeman Mbowe haziendelei ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…