Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Nafatilia hizi press zinazofanywa kila mara na Mbowe, pamoja na press anazofanya Lissu. Tumeshamsikia Lissu akisema mara nyingi kuhusu kufanya reforms CHADEMA, kupambana na rushwa pindi atakapoingia, etc.
Ila ukifika kwa Mbowe, ni malalamiko mwanzo mwisho. Mimi nimekilea CHADEMA toka kinatoa kamasi hadi saivi kinakimbia, mara nilimfuta kamasi Lissu alipokuwa amepigwa risasi, mara hakuna ukomo bado nina nguvu za bull, bla bla bla!
Pia soma: Pre GE2025 - Hakuna ubishi tena baada ya press ya leo kuwa Mbowe ni CCM oyeee!
Una mikakati gani wa kuiondoa CHADEMA katika hali hii na kuhakikisha kinakuwa chama chenye nguvu ambacho tukifikiria kuwaondoa CCM basi tusisite kusema CHADEMA wanafaa? Mbali na kuwa king'ang'a kama Museven una kipi cha kuwashawishi wana CHADEMA kuwa ukipewa term nyingine hawatajutia maamuzi yao?
Kazi kukalia kusema chama changu chama changu, unazidi kujivua ujue! Inaonekana hukutegemea utakuwa challenged, ilikuwa business as usual kujiendea endea tu bila kichwa, sasa imefika wakati wa kuwa na plani, huna yoyote! Imebaki FEZEA!