Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepunguza sana kuandika haya ya uchaguzi wa chadema maana level zetu za ku analyse issues zinapishana sana. Nitajibu pale ninapoona kuna haja. sasa mtu akianza matusi huyo kweli kuna haja ya kupoteza muda kumjibu! Nimechukua msimamo huo!
as if mikutano ya siasa na maandamo ni hisani! Usijipe ujiko,uko kichwani uko mweupeee, tupisheee🌚🌚Kwa comment yako hii, inaonyesha hiyo CHADEMA, waalaaa haikuhusu. Yaani, wewe si mwana CDM. Na waaalaaa HAIKUHUSU! Sasa, sijui UNAWASHWA na nini!!?Retired usijifanye hujaona uzi huu
Mwambieni mwenyekiti wenu ukweli.
CHADEMA inahitaji reshuffle na uongozi mpya
Sitaki matusi, sitaki matusi...kama huwezi jibu hoja pita zako na si matusi. Basi Muulize mama yako kama mimi ni mweupe, short of that tusingelikuzaaHypothetical Scenario: Rais Samia piga marufuku mikutano ya hadhara ya kisiasa Lisu aje akulazimishe kuifungua au aifanye kwa kukaidi
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka. Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye...www.jamiiforums.com
Hii takataka ndio unaita "Level za ku analyse"?![]()
![]()
as if mikutano ya siasa na maandamo ni hisani! Usijipe ujiko,uko kichwani uko mweupeee, tupisheee🌚🌚
Baharia hodari huonekana wakati wa dhoruba.Wakuu,
Nafatilia hizi press zinazofanywa kila mara na Mbowe, pamoja na press anazofanya Lissu. Tumeshamsikia Lissu akisema mara nyingi kuhusu kufanya reforms CHADEMA, kupambana na rushwa pindi atakapoingia, etc.
Ila ukifika kwa Mbowe, ni malalamiko mwanzo mwisho. Mimi nimekilea CHADEMA toka kinatoa kamasi hadi saivi kinakimbia, mara nilimfuta kamasi Lissu alipokuwa amepigwa risasi, mara hakuna ukomo bado nina nguvu za bull, bla bla bla!
Una mikakati gani wa kuiondoa CHADEMA katika hali hii na kuhakikisha kinakuwa chama chenye nguvu ambacho tukifikiria kuwaondoa CCM basi tusisite kusema CHADEMA wanafaa? Mbali na kuwa king'ang'a kama Museven una kipi cha kuwashawishi wana CHADEMA kuwa ukipewa term nyingine hawatajutia maamuzi yao?
Kazi kukalia kusema chama changu chama changu, unazidi kujivua ujue! Inaonekana hukutegemea utakuwa challenged, ilikuwa business as usual kujiendea endea tu bila kichwa, sasa imefika wakati wa kuwa na plani, huna yoyote! Imebaki FEZEA!
Sitaki matusi, sitaki matusi...kama huwezi jibu hoja pita zako na si matusi. Basi Muulize mama yako kama mimi ni mweupe, short of that tusingelikuzaa
nani aliyeweka matusi kati yangu na wewe?🤣🤣😆😆 Ndicho mnachoweza best wafuasi wa king'ang'a! Ni weupe peeeee kichwani kama poda za watoto



Haahaa unadhani mbowe hakukimbia nchi?Baharia hodari huonekana wakati wa dhoruba.
Kibaraka Lisu Huwa anakimbia Kukamatwa Ili aende jela huku pia akisingizia kutaka kuuwawa.
Mbowe amekaa jela ,ameivunja miguu,amefilisiwa Mali nk ila alipambana humu humu kuweka mambo sawa.
Harafu wale waliokimbia eti wanaonekana kufaa, upumbavu wa hivyo hufanyika Chadema tuu.
Kwani mbowe wa sasa ana tofauti gani na Cheyo,Hamad Rashid au Lipumba?Msiompenda, mwaka huu mtajinyonga!
Hiviiii, hakuna vyama vingine MKAVISHABIKIEEE!!? Kutwa kucha MBOWEE, MBOWEEEE! Kuna UDP kulee, hakina mwekezaji. Kuna kile TADEA, sijui ndicho alichokinunua Shibuda, nendeni mkamuongezee nguvu!
hapa hapa chadema panatoshaMsiompenda, mwaka huu mtajinyonga!
Hiviiii, hakuna vyama vingine MKAVISHABIKIEEE!!? Kutwa kucha MBOWEE, MBOWEEEE! Kuna UDP kulee, hakina mwekezaji. Kuna kile TADEA, sijui ndicho alichokinunua Shibuda, nendeni mkamuongezee nguvu!