Mbowe zaidi ya kulalamika na kuonesha wewe ni 'king'ang'a' kila siku kwenye press una mikakati gani ya kuifanya CHADEMA iwe moto?

Nimepunguza sana kuandika haya ya uchaguzi wa chadema maana level zetu za ku analyse issues zinapishana sana. Nitajibu pale ninapoona kuna haja. sasa mtu akianza matusi huyo kweli kuna haja ya kupoteza muda kumjibu! Nimechukua msimamo huo!

Hii takataka ndio unaita "Level za ku analyse"? as if mikutano ya siasa na maandamo ni hisani! Usijipe ujiko,uko kichwani uko mweupeee, tupisheee🌚🌚
 
Retired usijifanye hujaona uzi huu

Mwambieni mwenyekiti wenu ukweli.

CHADEMA inahitaji reshuffle na uongozi mpya
Kwa comment yako hii, inaonyesha hiyo CHADEMA, waalaaa haikuhusu. Yaani, wewe si mwana CDM. Na waaalaaa HAIKUHUSU! Sasa, sijui UNAWASHWA na nini!!?
 
Sitaki matusi, sitaki matusi...kama huwezi jibu hoja pita zako na si matusi. Basi Muulize mama yako kama mimi ni mweupe, short of that tusingelikuzaa
 
Baharia hodari huonekana wakati wa dhoruba.

Kibaraka Lisu Huwa anakimbia Kukamatwa Ili aende jela huku pia akisingizia kutaka kuuwawa.

Mbowe amekaa jela ,ameivunja miguu,amefilisiwa Mali nk ila alipambana humu humu kuweka mambo sawa.

Harafu wale waliokimbia eti wanaonekana kufaa, upumbavu wa hivyo hufanyika Chadema tuu.
 
Sitaki matusi, sitaki matusi...kama huwezi jibu hoja pita zako na si matusi. Basi Muulize mama yako kama mimi ni mweupe, short of that tusingelikuzaa
nani aliyeweka matusi kati yangu na wewe?🤣🤣😆😆 Ndicho mnachoweza best wafuasi wa king'ang'a! Ni weupe peeeee kichwani kama poda za watoto

Mwenyewe umejiona umetoa bonge la jibu!
 
Haahaa unadhani mbowe hakukimbia nchi?
 
Msiompenda, mwaka huu mtajinyonga!
Hiviiii, hakuna vyama vingine MKAVISHABIKIEEE!!? Kutwa kucha MBOWEE, MBOWEEEE! Kuna UDP kulee, hakina mwekezaji. Kuna kile TADEA, sijui ndicho alichokinunua Shibuda, nendeni mkamuongezee nguvu!
Kwani mbowe wa sasa ana tofauti gani na Cheyo,Hamad Rashid au Lipumba?
 
Msiompenda, mwaka huu mtajinyonga!
Hiviiii, hakuna vyama vingine MKAVISHABIKIEEE!!? Kutwa kucha MBOWEE, MBOWEEEE! Kuna UDP kulee, hakina mwekezaji. Kuna kile TADEA, sijui ndicho alichokinunua Shibuda, nendeni mkamuongezee nguvu!
hapa hapa chadema panatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…