johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani kuna mashindano?!!Hiyo nidhamu kwani haipo Kwa Sasa? Kuna mtu anaweza thibitisha?
Mwisho tupime matokeo ya uchumi awamu ya 6 na awamu ya 5 hicho ndio Kilimo Cha nidhamu ya Watumishi mengine ni upuuzi usio na maana
Waulize wanaotoa hoja hizo ukiwepo wewe ndio ujibuKwani kuna mashindano?!!
Walikufa akina Kolimba unachoshangaa ni nini?Kujenga nidhamu sio lazima kuua watu, sio lazima kudhulumu watu, sio lazima kuvuruga uchumi na sio lazima kutesa watu.
Kuna namna nyingi ya kujenga nidhamu
Relax chawa!Waulize wanaotoa hoja hizo ukiwepo wewe ndio ujibu
Yaani hawa ni kama Ulimboka alinyofolewa kucha enzi ya Magu, achana na utumbo wa Mwangosi alale mahali pema na hao kina Chacha Wangwe, Filikunjombe…. Mi naamini kuna watu hulipwa kuharibu image za wengine…Walikufa akina Kolimba unachoshangaa ni nini?
Marais wa hii jamhuri wameondoka na damu za watu. Namsubiri Sa100 uchaguzi wa 2025.Nidhamu haiji kwa kuua wanaokukosoa wala nidhamu haiji kwa kukwapua mapesa ya Plea Bargain na kuyaficha China.