Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha.

Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi amewataka wakazi hao kuhakikisha Katiba mpya inapatikana hata kesho asubuhi ili viongozi wabovu wasipewe nafasi.

Sugu amewasomea tena wananchi hao mkataba wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Waarab , jambo lililozua masikitiko makubwa sana miongoni mwa wahudhuriaji.

Mambo yalikuwa hivi , kinachosikitisha ni ukubwa wa Mkutano wa Sugu kuonekana kuishinda mikutano ya Rwangwa.

Screenshot_2023-09-18-20-09-29-1.png
Screenshot_2023-09-18-20-09-13-1.png
 
Eti ccm yaagwa rasmi, hakika wendawazinu hawataisha nchi hii, hivi kwa akili zako ccm hii kongwe ni ya kuondolewa na hao wahuni wazee wa fursa.
 
Back
Top Bottom