Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

Kwenye kitabu changu kipya kiitwacho 'Divide and Rule' nita explore kuhusu ugawanyaji wa baadhi ya majimbo.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha.

Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi amewataka wakazi hao kuhakikisha Katiba mpya inapatikana hata kesho asubuhi ili viongozi wabovu wasipewe nafasi.

Sugu amewasomea tena wananchi hao mkataba wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Waarab , jambo lililozua masikitiko makubwa sana miongoni mwa wahudhuriaji.

Mambo yalikuwa hivi , kinachosikitisha ni ukubwa wa Mkutano wa Sugu kuonekana kuishinda mikutano ya Rwangwa.

View attachment 2753848View attachment 2753845
Mungu ibariki CHADEMA[emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kataa ndio yeye huyu. 😩😆😄😉😄🤣😂
Pamoja na kwamba unaandika uongo , lakini hapa JF kuna sheria inakataza Name calling , kwa hiyo kuwa makini sana , usione nimenyamaza , unaweza kula BAN ya milele dk yoyote kuanzia sasa , uongo haujawahi kuwa hoja
 
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha.

Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi amewataka wakazi hao kuhakikisha Katiba mpya inapatikana hata kesho asubuhi ili viongozi wabovu wasipewe nafasi.

Sugu amewasomea tena wananchi hao mkataba wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Waarab , jambo lililozua masikitiko makubwa sana miongoni mwa wahudhuriaji.

Mambo yalikuwa hivi , kinachosikitisha ni ukubwa wa Mkutano wa Sugu kuonekana kuishinda mikutano ya Rwangwa.

View attachment 2753848View attachment 2753845
Chama makini kipo Kazini
 
Back
Top Bottom