Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha.

Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi amewataka wakazi hao kuhakikisha Katiba mpya inapatikana hata kesho asubuhi ili viongozi wabovu wasipewe nafasi.

Sugu amewasomea tena wananchi hao mkataba wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Waarab , jambo lililozua masikitiko makubwa sana miongoni mwa wahudhuriaji.

Mambo yalikuwa hivi , kinachosikitisha ni ukubwa wa Mkutano wa Sugu kuonekana kuishinda mikutano ya Rwangwa.

 
Eti ccm yaagwa rasmi, hakika wendawazinu hawataisha nchi hii, hivi kwa akili zako ccm hii kongwe ni ya kuondolewa na hao wahuni wazee wa fursa.
 
Hakuna Kulala....next week Kinawaka KASKAZINI !!!!

Tumekuwa Kivu giza tororo kila sehemu.....
 
Hivi chadema hamnaga watu wapya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…