Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
kama almas sio dhahabu...Diamond bana alishafukuzwa T.H.T kisa hajui kuimba na hana muonekano wa kisanii lakini leo anang'ara kama dhahabu.....!
yote ni madini na yanang'aakama almas sio dhahabu...
namaanisha kama jina lakeyote ni madini na yanang'aa
kumbe diamond ndo almasi eenh....nimejua Leo asante kwa kunijuzanamaanisha kama jina lake
THT ile ya RUGE aliyoipora serikalini?Diamond bana alishafukuzwa T.H.T kisa hajui kuimba na hana muonekano wa kisanii lakini leo anang'ara kama dhahabu.....!
Nimeshindwa kuelewa ina maana na mbozi katala(me) kuna wakati anatembea na poda au sijaelewa ....Ujumbe huu unahusu Diamond (me) na poda (ke).
Mwanaume afunga safari toka Manzese mpaka TBC kuomba poda! Mbona viroja.
Hahahaaaaa, poda haiepukiki hasa kwa watu wanaouza nyago mara kwa mara kwenye TVNimeshindwa kuelewa ina maana na mbozi katala(me) kuna wakati anatembea na poda au sijaelewa ....
Mmmh basi wanaume wana dar sisi wamikoani tunapata taabu sana kuwaelewa
Kwani ni kawaida wanaokwenda kuhojiwa kwenye TV kila mmoja abebe poda yake mfukoni au inatakiwa wapewe pale pale na kupaka kabla ya mahojiano?Hahahaaaaa, poda haiepukiki hasa kwa watu wanaouza nyago mara kwa mara kwenye TV
Huyo Mbozi Katala wa kike au kiume?Mwanahabari wa TBC1 Mbozi Katala amesema kwamba Diamond Platnumz alikuwa na maisha magumu sana hapo mwanzo maana kuna siku aliwahi kwenda TBC1 na kumwomba poda. Ameongeza kuwa siku hiyo hakuingia pale na gari na hajui alitumia usafiri gani kufika pale.
Funzo: Usimdharau yeyote maana hujui yajayo.