Mbozi Katala: Diamond Platnumz aliwahi kuniomba poda alipokuja TBC1 enzi hizo

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Mwanahabari wa TBC1 Mbozi Katala amesema kwamba Diamond Platnumz alikuwa na maisha magumu sana hapo mwanzo maana kuna siku aliwahi kwenda TBC1 na kumwomba poda. Ameongeza kuwa siku hiyo hakuingia pale na gari na hajui alitumia usafiri gani kufika pale.

Funzo: Usimdharau yeyote maana hujui yajayo.
 
Ujumbe huu unahusu Diamond (me) na poda (ke).
Mwanaume afunga safari toka Manzese mpaka TBC kuomba poda! Mbona viroja.
Nimeshindwa kuelewa ina maana na mbozi katala(me) kuna wakati anatembea na poda au sijaelewa ....
Mmmh basi wanaume wana dar sisi wamikoani tunapata taabu sana kuwaelewa
 
Hahahaaaaa, poda haiepukiki hasa kwa watu wanaouza nyago mara kwa mara kwenye TV
 
Kwani ni kawaida wanaokwenda kuhojiwa kwenye TV kila mmoja abebe poda yake mfukoni au inatakiwa wapewe pale pale na kupaka kabla ya mahojiano?
 
Kwa hiyo? Wabongo bwana ndio zile za waziri Mpango nilisoma nae! Inakusaidia mini? Kamuombe na wewe powder enzi hizi
 
kweli magu noma.
Kwa mara ya kwanza mmeanza kushika majinq ya watangazaji wa tbc. Hahaha na bado mtashika majina hadi ya wale wa chereko cherrko
 
Mwanahabari wa TBC1 Mbozi Katala amesema kwamba Diamond Platnumz alikuwa na maisha magumu sana hapo mwanzo maana kuna siku aliwahi kwenda TBC1 na kumwomba poda. Ameongeza kuwa siku hiyo hakuingia pale na gari na hajui alitumia usafiri gani kufika pale.

Funzo: Usimdharau yeyote maana hujui yajayo.
Huyo Mbozi Katala wa kike au kiume?
 
Back
Top Bottom