Mbozi Katala: Diamond Platnumz aliwahi kuniomba poda alipokuja TBC1 enzi hizo

Nimeshindwa kuelewa ina maana na mbozi katala(me) kuna wakati anatembea na poda au sijaelewa ....
Mmmh basi wanaume wana dar sisi wamikoani tunapata taabu sana kuwaelewa
Kuna poda inayopakwa ili mtu aonekane vizuri katika runinga, pengine huyo msanii alikwenda kwa mahojiano ndio akamuomba mtangazaji.
 
Simple tu.. nae huyo mbozi sijui mbuzi aende kwa chibu nae akaombe poda
 
Nimeshindwa kuelewa ina maana na mbozi katala(me) kuna wakati anatembea na poda au sijaelewa ....
Mmmh basi wanaume wana dar sisi wamikoani tunapata taabu sana kuwaelewa
Kawaida kwa watangazaji wa tv wana wapiga makeup hapo studio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…