Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Wa kiume Mara nyingi alikuwa anatangaza Jambo Tanzania asubuhi,mshambuliaji kwenye timu ya soka TBCHuyo Mbozi Katala wa kike au kiume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kiume Mara nyingi alikuwa anatangaza Jambo Tanzania asubuhi,mshambuliaji kwenye timu ya soka TBCHuyo Mbozi Katala wa kike au kiume?
Inategemea na mmiliki wa TV, Mpare hawezi kukupa poda kiboya.Kwani ni kawaida wanaokwenda kuhojiwa kwenye TV kila mmoja abebe poda yake mfukoni au inatakiwa wapewe pale pale na kupaka kabla ya mahojiano?
Kuna poda inayopakwa ili mtu aonekane vizuri katika runinga, pengine huyo msanii alikwenda kwa mahojiano ndio akamuomba mtangazaji.Nimeshindwa kuelewa ina maana na mbozi katala(me) kuna wakati anatembea na poda au sijaelewa ....
Mmmh basi wanaume wana dar sisi wamikoani tunapata taabu sana kuwaelewa
Wa kiume usishangae mapoda ....anyway mnatupa taabu sana wa mikoani kuwaelewaHuyo Mbozi Katala wa kike au kiume?
Duuh mwanaume na poda wapi na wapi.........au ana salon ya kunyolea?Wa kiume Mara nyingi alikuwa anatangaza Jambo Tanzania asubuhi,mshambuliaji kwenye timu ya soka TBC
Kwa kweli hatuwaelewi.........halafu anaongea as if ni sifa.Wa kiume usishangae mapoda ....anyway mnatupa taabu sana wa mikoani kuwaelewa
Wanaume wa dar
Ni Mbozi mkuu.Simple tu.. nae huyo mbozi sijui mbuzi aende kwa chibu nae akaombe poda
Ni noma kweli, maana amefanya ujue chereko chereko.kweli magu noma.
Kwa mara ya kwanza mmeanza kushika majinq ya watangazaji wa tbc. Hahaha na bado mtashika majina hadi ya wale wa chereko cherrko
Huyo Dada naona anataka kuliwa tu na Mondi.Huyo Mbozi Katala wa kike au kiume?
Kawaida kwa watangazaji wa tv wana wapiga makeup hapo studioNimeshindwa kuelewa ina maana na mbozi katala(me) kuna wakati anatembea na poda au sijaelewa ....
Mmmh basi wanaume wana dar sisi wamikoani tunapata taabu sana kuwaelewa