Mbrazili kuziba pengo la Aishi Manula?

Mbrazili kuziba pengo la Aishi Manula?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Umeuonaje usajili wa Mbrazili wa Simba? Ataweza kuziba pengo lililoshindwa kuzibwa na Beno Kakolanya na kumuachia Ali Salim?

Nakuachia Mwana JF.
 
Si rahisi sana kujibu swali hili maana kama humu wapo waliowahi kuona uchezaji wake, basi ni wachache sana. By the way amekuja kucheza Simba, sio kuziba 'pengo' la Manula
 
Mimi Binafsi sijawahi kuwa na Imani na mchezaji yoyote anayetoka Nje ya Africa kucheza MPIRA Tanzania.

1. Nahisi Yale Yale ya DEJAN yanaenda KUJIRUDIA.

2. Wabrazil wote waliocheza Simba hakuna kitu kuanzia Flaga, silava , Thairone nk.

3. Wanatumia UHUNI kwamba ionekane timu kubwa kama MAMelody kumbe UPIGAJI MTUPU

Nini kiliwashinda kwa Golikipa wa Cameroon na Lipopo.

MANURA UPONE HARAKA GOLINI SIMBA IMESAJILI SHATI.
 
O'Brien Cirkovic alifanya poa sana mbona.
Bruno Gomes pia anafanya vizuri
 
Kwanini sio sarawili🤸😂
 
Mimi ni Mpenzi WA Simba.

Kuna Makosa mengi mno kwenye USAJILI WA Simba.

1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN

Sijajua kwanini Simba WANAFANYA Hivi, INAWEZEKANA wanaiga VILABU VIKUBWA AFRIKA kama MAMelody.

PUNGUZENI WINGA Mmuongeze Bangala kama kiungo na Beki.

2. MANURA ATARUDI si Muda Mrefu.
Gharama walizoingia kwa huyo KIPA mala mia wangembakisha kakolanya.

Otherwise mashindano ni mengi kiungo na Beki hazitoshi.
 
O'Brien Cirkovic alifanya poa sana mbona.
Bruno Gomes pia anafanya vizuri

Hawajafanya Vizuri

Walicheza LIGI isiyo na Ushindani
Sio super cup, na Club BINGWA.

Bruno ni mchezaji wa KAWAIDA.
FEI Ametoka SINGIDA kwasababu Alikuwa mchezaji mzuri sana yanga wakamdaka haraka.

Bruno ni mwepesi sana.
Utamuona Madhaifu yake shilikisho.
 
Picha zake zote umeona hazina maana ukaona uweke hiyo siyo!!
 
frags nawakataria, mpaka Sasa sijaona midfield iliyokamilika kama yeye kuanzia kukaba Hadi kushambulia
 
Back
Top Bottom