Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Umeuonaje usajili wa Mbrazili wa Simba? Ataweza kuziba pengo lililoshindwa kuzibwa na Beno Kakolanya na kumuachia Ali Salim?
Nakuachia Mwana JF.
Nakuachia Mwana JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si rahisi sana kujibu swali hili maana kama humu wapo waliowahi kuona uchezaji wake, basi ni wachache sana. By the way amekuja kucheza Simba, sio kuziba 'pengo' la ManulaUmeuonaje usajili wa Mbrazili wa Simba? Ataweza kuziba pengo lililoshindwa kuzibwa na Beno Kakolanya na kumuachia Ali Salim?
Nakuachia Mwana JF.
O'Brien Cirkovic alifanya poa sana mbona.Mimi Binafsi sijawahi kuwa na Imani na mchezaji yoyote anayetoka Nje ya Africa kucheza MPIRA Tanzania.
1. Nahisi Yale Yale ya DEJAN yanaenda KUJIRUDIA.
2. Wabrazil wote waliocheza Simba hakuna kitu kuanzia Flaga, silava , Thairone nk.
3. Wanatumia UHUNI kwamba ionekane timu kubwa kama MAMelody kumbe UPIGAJI MTUPU
Nini kiliwashinda kwa Golikipa wa Cameroon na Lipopo.
MANURA UPONE HARAKA GOLINI SIMBA IMESAJILI SHATI.
Nikimkumbuka JAJA nabaki kuinama tu, mifano mingine siikumbuki.Kocha akileta mcheazaji kutoka kwao unaweza kukuta ni ndugu yake anamtafutia kibarua.
Mbona wengi tu. Mbona mlete mchungu alikuwa mkwe wa yule kocha wa Simba na huyu wa sasa ni Kilembwe wa chiba.Nikimkumbuka JAJA nabaki kuinama tu, mifano mingine siikumbuki.
Kwanini sio sarawili🤸😂Mimi Binafsi sijawahi kuwa na Imani na mchezaji yoyote anayetoka Nje ya Africa kucheza MPIRA Tanzania.
1. Nahisi Yale Yale ya DEJAN yanaenda KUJIRUDIA.
2. Wabrazil wote waliocheza Simba hakuna kitu kuanzia Flaga, silava , Thairone nk.
3. Wanatumia UHUNI kwamba ionekane timu kubwa kama MAMelody kumbe UPIGAJI MTUPU
Nini kiliwashinda kwa Golikipa wa Cameroon na Lipopo.
MANURA UPONE HARAKA GOLINI SIMBA IMESAJILI SHATI.
Aisee! Haya bhana, ni uhuru wa maoni2. Wabrazil wote waliocheza Simba hakuna kitu kuanzia Fraga, silava , Thairone nk.
O'Brien Cirkovic alifanya poa sana mbona.
Bruno Gomes pia anafanya vizuri
Good thinkingSi rahisi sana kujibu swali hili maana kama humu wapo waliowahi kuona uchezaji wake, basi ni wachache sana. By the way amekuja kucheza Simba, sio kuziba 'pengo' la Manula
Sio uhuru wa kutoa maoni, hao tunawaita mashabiki matokeo. Hapo ukimuhoji vizuri utasikia ana goli ngapi, ana assists ngapi?!!Aisee! Haya bhana, ni uhuru wa maoni
Yawezekana humjui Fraga1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN
atakuwa ameanza kushabikia mpira juzi.Yawezekana humjui Fraga