MBS suti haimkai kabisa bora aendelee tu kuvaa vasi la asili ya Saudi Arabia

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
_methode_times_prod_web_bin_1448c67a-e6df-11ea-9b25-18353d361fa2.jpg
merlin_136464831_37621efb-fadf-42ab-9378-2db6e20ebde7-superJumbo (1).jpg
salman1a.jpg
salman1a.jpg
unnamed.jpg
rawImage.jpg
375x250.jpg
9a6fecfe-edb5-4243-801e-10a91144ca15.jpg
 
Mungu azidi kumbariki huyu mwamba. Amsamehe kwa makosa yaliyopita.
 
Nimemgugo uyu jamaa ni mtoto wa kishua kwa level za kidunia
Huyo ni Saudi Crown Prince Mohammed Bin Salman. Ni mdogo kiumri lakini ana haiba na authority ya kutawala

Huyu jamaa akiitawala Saudia waarabu weusi wataelimika na kuachana na maisha ya karne ya 7!
Yuko vizuri upstairs ? au anapatana sana mabeberu ?
 
Nimemgugo uyu jamaa ni mtoto wa kishua kwa level za kidunia

Yuko vizuri upstairs ? au anapatana sana mabeberu ?
Jamaa yuko vizuri aliandaliwa to mdogo. Ana ile authority na kucreate fear na ndio inahitajika Saudi Arabia.
 
Nimemgugo uyu jamaa ni mtoto wa kishua kwa level za kidunia

Yuko vizuri upstairs ? au anapatana sana mabeberu ?
Ana akili za kuishi na watu wa aina zote.
Anaelewa kuwa Waarabu na waislamu wengi wamekumbatia mila za kale sanaa na ili kuwabadilisha ni lazima afanye vile ambavyo wao hawakuvizoea.

Mfano wanawake sasa hivi Saudi wanaendesha magari, wanatoka kwenye majumba yao pasipo wasimamizi n.k huu ni mwanzo tu, anaona viongozi wa Dubai walivyowahi kupata akili ambazo yeye pia anazo.
 
Picha ya mwisho kabisa chini naona kuna vigari flani hivi navipenda, akivitupa mnielekeze jalala
 
Ana akili za kuishi na watu wa aina zote.
Anaelewa kuwa Waarabu na waislamu wengi wamekumbatia mila za kale sanaa na ili kuwabadilisha ni lazima afanye vile ambavyo wao hawakuvizoea.

Mfano wanawake sasa hivi Saudi wanaendesha magari, wanatoka kwenye majumba yao pasipo wasimamizi n.k huu ni mwanzo tu, anaona viongozi wa Dubai walivyowahi kupata akili ambazo yeye pia anazo.
Akili au matope.....?!!!
 
He looks weird! Au ni mazoea tu ya kuwa tunamuona kwenye kanzu tu.

Halafu huyo alien wa fb why hajaungana na mwenzie wa Tesla kwenye kuharakisha usafiri wa kurudi kwao Mars?!
 
Ana akili za kuishi na watu wa aina zote.
Anaelewa kuwa Waarabu na waislamu wengi wamekumbatia mila za kale sanaa na ili kuwabadilisha ni lazima afanye vile ambavyo wao hawakuvizoea.

Mfano wanawake sasa hivi Saudi wanaendesha magari, wanatoka kwenye majumba yao pasipo wasimamizi n.k huu ni mwanzo tu, anaona viongozi wa Dubai walivyowahi kupata akili ambazo yeye pia anazo.
Subiri awajazie misikiti jerusalem ndo mtamjua huyo mtu,nasikia viongozi wa israel wanataka kumpa saudi ndo asimamie nyumba za ibada pale jerusalem,badala ya jordan kana ilivyo kawaida jordan ndio husimamia, ikiwepo kukarabati makanisa na misikiti ndani ya jerusalem mashariki..
 
Back
Top Bottom