Subiri awajazie misikiti jerusalem ndo mtamjua huyo mtu,nasikia viongozi wa israel wanataka kumpa saudi ndo asimamie nyumba za ibada pale jerusalem,badala ya jordan kana ilivyo kawaida jordan ndio husimamia,ikiwepo kukarabati makanisa na misikiti ndani ya jerusalem mashariki..