Mbu ‘Steve’ janga jipya kwa Malaria, asambaa nchi 7 Barani Afrika

Mbu ‘Steve’ janga jipya kwa Malaria, asambaa nchi 7 Barani Afrika

Tumekuwa tukiambiwa kuwa mbu Anopheles yeye muda wake wa kuuma na kupelekea mtu kupata malaria ni usiku wa manane. Je, yule mbu Culex aenezae matende na mabusha, Aedes wa dengue na huyu Steve wa malaria muda wao wa kuleta madhara ni upi?
 
Back
Top Bottom